Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
Mkuu sio kuchochea udini, ilikuwa ni vyema kusema walikosea kuuwasha udini kabla ya kuwalaumu waache kuchochea udini,
Hata hivyo kama kweli upo uchochezi ni bora tuukemee!!!
 
Magufuli kashauri hilo daraja liite "DARAJA LA NYERERE"

Hapo sasa!
Nyerere ametosha sana, waenziwe wengine sasa, Mzee mwinyi anaelekea kusahaulika kwa vizazi vya sasa!
Kwanini lisiitwe ALLY HASSAN MWINYI BRIDGE?
 
Nyerere ametosha sana, waenziwe wengine sasa, Mzee mwinyi anaelekea kusahaulika kwa vizazi vya sasa!
Kwanini lisiitwe ALLY HASSAN MWINYI BRIDGE?

Mwinyi bana hahhahqhahahh
 
Ultimutum ya dau aliitoa JPM siku anatengua board na hatimae akamteua balozi hewa,mengine yoote ni kufurahisha ukumbi
 
Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
Usihangaike sana maana kuna fact moja kwamba kama huna mambo ya kushangilia, basi hilo moja likijitokeza unaweza hata kumaliza mwaka unashangilia. Kuna watu hapa wanamshangilia Dau kana kwamba ndo baba wa Taifa hili. Utadhani ndo alitoa pesa mfukoni kutujengea daraja. Utadhani bila Dau sasa nchi haiendelei.

Who is this Dau? Obviously ni matatizo ya kidini tuliyoyakuza ktk miaka 10 iliyopita. Kila mtu tunamtafuta kama ni mwenzetu. Hili linatufanya baadhi hata tujiulize kama daraja hili lingejengwa na taasisi ya kidini sijui mambo yangekuwaje?
 
Hongera Dr Dau kwa kuwa miongoni mwa waliofanikisha ujenzi wa daraja hili adhimu...." Daraja la dau"
 
Duh, mbona matusi hvi?

Soma kilichoandikwa juu ya hii post uliyo quote.
Tatizo lenu ni unafiki kila kitu unatazama upande mmoja. Kama kimekuuma jua nanyi mkitukana kuna watu inawauma vivyo hivyo. Ukitaka usitukanwe jitahidi kulinda mkono wako usiandike usiyopenda kuandikiwa
 

Ukimuandama mtu kwa dini yake jua atatetewa kwa dini yake!
Ushawahi kusikia Rostam,Karamagi, Said lugumi katetewa kwa dini yake?
Chuki yenu dhidi ya Dr.Dau imeanza tangu kateuliwa January 2001 kabla hajaanza lolote NSSF mlishaanza Chuki na husda zenu.

Kama ni tuhuma za ufisadi wanazo wengi what is so special kwa Dau mpaka mnafikia kumtoa kwny vigazeti vyenu anasulubiwa?
"...Kama mnashindana shindanen kwa yaliyo bora..."

Fanyeni kazi bora kuliko aliyofanya badala ya kuishia kufoji Auditors report na kusambaza na kutumia nguvu kubwa kumuandama wakati alikuwa ni Mkurugenzi tu Mfuko wa hifadhi ya Jamii!
 
Huu uzi wagalatia wenye husda wanaupita kwa mbali mno.
Mkuu mimi nashauri hili daraja liitwe DAU BRIDGE! Mapendekezo ya MAGUFULI hayakuwa ya haki! Wewe unaonaje Mkuu? Dau ndio the man behind this bridge!
 
Message kama hii ni ya ushabiki. Sijui mwandishi anashabikia nini lakini sioni kuunguruma kokote. Huyo Dau anazungumza akishukuru tu na ni kama dk 4. Badala ya kuandika ya maana yaliyozungumzwa ktk ufunguzi mtu mzima anaandika, Dau kaunguruma. Wapi alipounguruma?

Huu ni ushabiki uliostahili kufanywa na dunia kwa watu kama Einstein. Leo hii tunashabikia mkurugenzi aliyeondolewa, ili iweje?
 
Dr Dau na Dr Magufuli leo mmeweka historia kubwaa...wazandiki wamejinyea leo
Dr.Dau alipoanza ku-qoute maneno kutoka kwenye msahafu nilitambua lengo lake papo hapo!
Kiongozi wa UMMA ukishajikita kwenye udini, jamii inakutapika! Mbaya zaidi watetezi wake hapa JF ndio wale wale magwiji wa kupandikiza chuki za kidini. Kama wewe na mwezio Ritz
 
Nadhani ata JPM mwenyewe anaona alichemka kumuundoa kwenye nafasi yake NSSF baada ya mihemko ya umu JF....Kuna timu fulani aka anti Dau ilijipanga kumchafua siku nyingi kweli na JPM akaingia mkenge maskini JPM mpaka dakika hii nadhani amekosa ushaidi maana sio kwa nanii ile ila ndo utafanyaje....
 
sasa hivi vitu vinamsaidia nini nyerere mwenyewe huko aliko au hata familia yake.
tumia hata akili yako ndogo ya kulia mikate.
Vinatusaidia kututangaza sisi aliotuacha, tumia hata akili yako ndogo ya kuvukia barabara
 

Umesahau kauli ya Nyerere akitolea mfano Tajiri alipoambiwa na Yesu atoe pesa zake zote kisha amfuate?
Umesahau Yusufu Makamba na quote zake za biblia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…