Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
Wewe punguani kweli Dr.Dau kufungua daraja ndiyo udini hebu onyesha huo udini.
 
Dau anaunguruma badala ya kuzungumza lazima atakuwa amebadilika akawa paka babu Mohamed Said hueleweki
 
waliokataa kumtaja ni dini gani..............Rais hana dini
 
Huyu mzee sijui ana tatizo gani? kwa taarifa yako hilo ni daraja la Nyerere..
 
LEO HII NIS IKU NGUMU SANA KWA WALE WAZEE WAKUTOANA MAPEPO KANISANI, LILE ZOGO LA CHUKI LIMEWAELEMEA ; AMA KWELI CHUKI NI MZIGO MBAYA SANA MOYONI, POLENI SANA, ENDELEENI NA POROJO ZENU JF NA KWENYE YALE MAGAZETI YENU, MUNGU AMEMNYANYUA DAU KUTOKA KWENYE MAPANGA YENU
 
Nimesikia sijui MC akisema kuwa lifespan ya hili daraja ni miaka 100+ na litatoa ajira kama 300 hivi.
Kuna mwenye idea ni kiasi gani kitakuwa kinalipwa na magari ili kuvuka? Nilichosikia ni kuwa (baadhi ya watembea kwa miguu) wanawake, watoto na wazee watakuwa hawalipi hivyo itakuwa ni vijana na wanaume tu ndio watachangia (???)

Kwa hesabu za haraka nimewaza jinsi ya kukusanya pesa hizi na kutoa matumizi ya mishahara ya wafanyakazi (administrative costs) na mwishoni tupate kiasi ambacho kitarejesha billion 260!! Kazi ipo aisee wala sio utani na naogopa isije kuwa kama mradi wa Machinga Complex 'mkombozi wa wachuuzi Tanzania'.
 
Tunataka kumalizana kwa sababu ya dini zilizoletwa katika harakati za biashara ya utumwa na nyingine kama vitangulizi vya ukoloni.Waafrika sijui tukoje.Linapokuja suala hili wenye digrii hufukia ardhini na wenye maarifa hugeuka majuha.

Huu ni upuuzi na sio ustaarabu.

Utadhani kuna vikosi vya SELEKA na Ant-BALAKA hapa vile vya kule Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Ptuuuuu! ! !
 
Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
Issue sio ya kidini, ila aliyeleta hoja ni mdini nambari wani duniani....
 
Mohamed said umeibuka mahala pako,bila shaka utamtungia kitabu
 
Mie mkazi wa Kigamboni hapa nilipo kichwa kinaniuma nikifiria kama nitaweza kumudu kuvusha kitoyota corolla DX changu hapo darajani, maana hizo gharama za ujenzi na hiyo mishahara ya watendaji wote hapo yooote nitabeba mie,duh!
 
Kikwete alimyanyua Mramba mkono kule Rombo akawaomba wapiga kura wamrejeshe jembe lake baada ya muda akamfunga siku hizi nasikia anafanya usafi Mwananyamala hospital.

Halafu Ustaadhi Mohamed Said kanichanganya kweli kweli katuaminisha daraja la Kigamboni ni daraja la Dau leo Dr Majipu kalibatiza rasmi daraja la Mwl Nyerere mtu kutoka bara asiyejua kula chapati wala kufunga tai kafunzwa na wazee wa Kariakoo leo kila kitu kizuri kinaitwa kwa jina lake na kuwaacha wazee wetu wa Dar es Salaam bila hadhi wala kumbukumbu wakati jiji hili lao.Mzee Mohamed Said anatuchanganya sana sijui tumfuate nani sasa duh vyovyote mimi nitaliita daraja la Dau potelea mbali ubwabwa na juice za NSSF zimetutia upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…