Dr, Prof. Msomi asienukuu maandiko yeyote.

Dr, Prof. Msomi asienukuu maandiko yeyote.

Utanukuu vipi kama husomi?
Lakini uongo mbaya ana semi za kwake.
Za kuambiwa....
Akili ya mbayuwayu....

kweli bana, jamaa ana misemi yake ya kimwananyamala sana, mara pesa za madafu n.k.

Juzi nilimsikia RC dar akimuita Prof. ukumbi mzima ulizima.
 
"kama unaweza, panda juu nenda ukazibe" - Sabah Muchacho.
 
Rais alinichosha alipoita pesa ya nchi yake pesa za madafu.... sjui alikopi kwa msanii au mtangazaji gani...:banghead:
 
Back
Top Bottom