Dr Prof Kikwete TUTAKUMBUKA KWA HILI

wanatamani

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
415
144
Wakati akihutubia bunge alituambia aliwahi kuulizwa angependa wa Tanzania wamkumbuke kwa lipi? Alijibu namnukuu " Napenda wanikumbuke kwa kuwatoa kuleeee na kuwafikisha hapa"
Ahsante Mh Dr Pro Kikwete hakika ulinena sahihi wala hukukosea UMETUFIKISHA HAPA. Narudia Ahsante .
Ila NAAMINI PIA HATAOISAHAU SIKU YA TAREHE 23 MAY 2015 Akiponena haya namnukuu

" Mwenyekiti amefungua Kikao cha NEC na ametoa statement kali sana imewaacha wajumbe na butwaa kubwa. Kwa ufupi, amesema yafuatayo:

1.Chama hakitamvumilia yeyote aliyevunja na anayevunja Kanuni na hakiwezi kujifanya hamna lolote lililotokea.-

2. Zama za kuamini kuwa CCM ikipitisha mgombea basi huyo ndio anakuwa Rais zimepitwa na wakati. Wana CCM ni wachache kuliko Watanzania wapiga kura. Hivyo tusichague kwa kujidanganya kwa kuwa aidha tunampenda sie au tunamuogopa. Wananchi hawatatuogopa hawatatuchagua

3. Chama hakitachagua kwa shinikizo la mtu yeyote bali kitasimamia misingi wala hakitamuogopa mtu. Chama kwanza mtu baadae.

4. Chama kinazo taarifa za wagombea Urais, waNEC na wapambe wao wanaofanya mambo ya ajabu na lazima kitachukua hatua.

5. Wananchi wana matarajio makubwa na CCM na hatuko tayari kuwaangusha." Mwisho wa nukuu .
HONGERA MH DR PROF JAKAYA MRISHO KIKWETE

Maamuzi yetu October
 
Dr Kikwete kwa hili nimemkubali.maanake Lowasa alitaka kukibinafsisha Chama,na hapa nataka na wengine wapate somo kuwa Chama ni zaidi ya mtu,lakini Kikwete namlaumu kwa kumlea Lowasa tangu alipodhihilika ameliingizia taifa hasara kwa kujihusisha na Richmond.Nakujinasibu kuwa hakukutana naye barabarani.
Kiaina Kikwete alikuwa akimtumia ujumbe kupitia kwa kina Nape Makonda na wengine japokuwa Manvi hakuweza kung'amua.
Kuna wanaosema kuwa Lowasa anweza kulipiza kisasi kwa kumwaga mboga au kuamia chama kingine lakini kwa rekodi yake ya ufisadi aliyokuwa nayo akidhubutu kufanya mojawapo Takukuru waatamwandama kwa ushahidi walionao na atajikuta anaungana na akina Mramba na Yona,analindwa kutoshitakiwa kwa kumstahi tu akileta za kuleta hapo hapo anashitakiwa.
Itabidi akumbuke msemo wa hasimu wake Nape kuwa samaki anafurukuta akiwa ndani ya maji laikin akitoka nje ni marehemu.
Kilichaonikuna zaidi ni walau amerudisha fedha zetu kiasi alizotuibia pamoja na mafisadi papa wenzie kina Rostam Chenge Karamagi nk
kwa njia za harambee hivi ndugu zangu mnafikiri hiki kikosi kingeingia Ikulu tungepona wangefanya kazi yakutukamua ilimradi warudishe hela zao tena na faida kibao.
AHSANTE KIKWETE KWA KULIONA HILO UBARIKIWE SANA
 
Ccm wakimpitisha mwanamke wajiandae kisaikolojia sidhani kama watanzania wako tayari kuongozwa na mwanamke.
 
Kama maamuzi ya kijinga ya Kikwete anaposhikwa na tumbo la hedhi kwa mfano pale anapodai pesa za Escrow si pesa za umma, halafu wakati huo huo anawaambia TAKUKURU waendelee kuwachunguza walioficha pesa za escrow nchi za nje na wengine kununua properties katika nchi za US, Canada, UK, Australia n.k.na ikiwezekana waombe msaada kutoka nchi hizo.

CC: Tetty

Madem hawastahl kuwa viongoz wa juu wakishkwa na tumbo la hedh wanakuwa na maamuz y kijinga sanaa!
 
kikwete alinifurahisha sanaaaaaa aiseee alionyesha wamechoka na wazee fulani kubinafsisha chama nakuongea kwa jeuri angempitisha tu angemchafua sana
 
Madem hawastahl kuwa viongoz wa juu wakishkwa na tumbo la hedh wanakuwa na maamuz y kijinga sanaa!

Acha matusi.Inamaana maamuzi mabovu ya JK alikuwa kwenye "hedhi"Mods haya siyo maneno ya kuyakingia kifua.Hivi wanawake tunaoingia humu tukaona maneno hayo inakuwaje.

Mods mnabore sana.Mimi siyo CCM lakini kejeli ya matusi ya nguoni kwa wanawake siyafagilii.Japo tunajua wanawake kwa crisis iliyopo sasa kwenye serikali hasa wa kutoka CCM hatawaweza.Lakini siyo hoja za matusi na kejeli kwa akina mama.
 
Back
Top Bottom