Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
Hahaaahaaahaa.. U made my day......... Hahaaaaa... Hahahaaaa
Acha kushabikia upumbavu.
Hahaaahaaahaa.. U made my day......... Hahaaaaa... Hahahaaaa
Kama maamuzi ya kijinga ya Kikwete anaposhikwa na tumbo la hedhi kwa mfano pale anapodai pesa za Escrow si pesa za umma, halafu wakati huo huo anawaambia TAKUKURU waendelee kuwachunguza walioficha pesa za escrow nchi za nje na wengine kununua properties katika nchi za US, Canada, UK, Australia n.k.na ikiwezekana waombe msaada kutoka nchi hizo.
CC: Tetty
Madem hawastahl kuwa viongoz wa juu wakishkwa na tumbo la hedh wanakuwa na maamuz y kijinga sanaa!
Umeona mkuu"kweli nimeamini wanawake wakipewa nafasi/fursa wanaweza"