muhogomtamu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 412
- 69
Mi namjua Dr. hivyo unavyoeleza wewe unaonekana una chuki nae binafsi na unatafuta kuungwa mkono! kwa mfano kunadi vitabu ulivyoandika ina shida gani sasa, kwanza inaonesha jinsi unavyo-uactivate u-Dr wako sio Ma Dr, kanjanja ambao hata hawaandiki kama hao unaowapenda wewe!
Ukija humu uwe na mada zenye kusimama zenyewe sio kututegemea sisi tukusimamishie! tunapoteza muda, kuna nyuzi nyingi za kupitia humu ndani. Kwa mfano unaandika "ukimwona kama ana miaka 20 kumbe 50, sasa sisi itusaidie nini