Dr. Ndarichako jipange ur next.....

Status
Not open for further replies.

Huo mtihani wa dini iwe Christianity au Islamic ...hauna faida ..sana hautupatii madaktari,wala maengineer.....nashanngaa kwa nini watu wannabeba Bango namna hiyo
 

Nini kifanyike mkuu
 
Huo mtihani wa dini iwe Christianity au Islamic ...hauna faida ..sana hautupatii madaktari,wala maengineer.....nashanngaa kwa nini watu wannabeba Bango namna hiyo

Kwani issue ni hiyo mkuu?funguka mkuu
 
Ishu ni kutokana na watu kudhani kuwa akili zetu zaweza kutatua kila kitu bila kufuata kanuni zinazotawala maisha ya binadam!
Tumepewa akili kufikiri ila kwa vitu ambavyo vishawekewa mipaka huna haja ya kutumia akili yako lazma uumie.ingekuwa akili ya binadam yaweza kila kitu ungeweza kutembea, kusema, na kufanya chochote mwenyewe baada tu ya kuzaliwa! Bt hukuweza yote hayo, na kanuni hiyohiyo ndiyo inayotumika kukukuza ambapo huwezi kuuzuia uzee wala hutaweza kutumia akili yako kuzuia kifo!
Kwa hiyo maumbile yako yenyewe yanakiri kufuata kanuni iliyowekwa na MUUMBA, why sasa ktk kipindi unachodhani una akili sana ya kufikiria usifuate kanuni hizo!?
Huu ni ukumbusho tu ndugu zangu, ee MOLA shuhudia nimefikisha japo kwa uchache kile ulichoniwezesha...
 
Tunapopewa idadi ya watoto waliofaulu darasa la saba huku hawajui kusoma wala kuandika tunapanua midomo kwa mishangao ndiyo NeCta tunayoitaka?
Hapo necta haihusiki. Kuna chombo kinachohusika na hilo...tafakari
 
Hilo neno mkuu, badala ya kuangalia maendeleo binafsi kiuchumi, fitna tu, Angalia Syria HAKUNA so called kafir, Lakini fitna at play wanauana wenyewe KWA wenyewe !!! Kazi kweli kweli eh mja waukweli, tufunue akili zetu

kwani we mkuu una maendeleo gani ya ajabu ambayo waislamu hawanayo?.
Hao wanauana syria kwa upande mmoja kupata silaha toka nchi za kikristo umeona ndo mfano.
Hao wanatwangana risasi kule USA,MEXCO ,COLOMBIA,CONGO ,unawajudge vipi?.
Tushawajua nyinyi wanafiki mnapenda kuwajudge watu kwa dini zao.
 
Siku zote tunalalamikia kwamba kuna wanazi ndani ya JF ambao wao adui yao mkubwa ni uislam na si CCM. Sijui kwa bahati mbaya au ni makusudi wanazi hao mara nyingi ni washabiki wa CDM (rejea hoja za mzalendoasilia kwenye thread nyingine). Sasa kwa Comment kama za mzalendoasilia unategemea tutakuwa wamoja!!. Wakuu tubadilike JF isije ikatafsiliwa kama kijiwe cha kudhihaki imani za watu
 

Asante mkuu, natumia mobile tu ningekubonyezea bonge la LIKE...
 

Hii sasa ni zaidi ya ZAIFFF; hii ni MTINDIO WA UBONGO....
 
Smart move kwa waislam kuandamana bila taarifa yoyote, maana iwapo yangetangazwa wahuni wa c*m wangevamia na kusababisha maafa ionekane waislam ni wavunja amani. Mission accomplished, Ndugu zetu wameshaachiwa na kesi zitafutwa kimya kimya au watapigwa faini ya shilingi elfu mbili (2000) kila mmoja ili iwe fundisho kwa wengine (teh teh teh).
 
what am talking here is nothing rather than truth. Hawana hasira nandalichako bali wanahasira na DINI YA NDALICHAKO.
 


mpaka utakufa utazikwa utaoza wewe na kizazi chako chote hizo nadharia za kiarabu hazitafanikiwa.
 
mpaka utakufa utazikwa utaoza wewe na kizazi chako chote hizo nadharia za kiarabu hazitafanikiwa.

Si wewe Ng'wanangwa wa kwanza kupinga unazoziita nadharia za kiarabu! Walikuwepo watu walijiita Baba wa Ujinga (Abu Jahali) waliopinga kwa vitendo lakini angalia ulivokuwa mwisho wao!
ALLAH akuongoze na akuepushe na shaytwan na shirki zake.
 
Penye uzia penyeza rupia JK ni uzia na wakati ni ukuta wamebakiza taklibani miaka miwili tu na wao mkononi wanarupia na rupia zenyewe ni kadhi, oic, elimu katika mfumo wa kiislamu, zanzibar huru, kupinga sheria ya ugaidi isiwepo, kugeuza shule za seminari zote kuwa madrasa, wanawake hakuna kuvaa hovyo (hapa na mimi nitashiriki kuandamana) na wanaume wote wafuge ndevu nyingi na ziwekwe rangi ya udongo au brown. Sasa mm upande wangu naona wako sahihi maana possibilite ya kupata uzia mwingine ni miaka kumi mbe
 

nakubaliana na wewe to an extent,hatuwezi kusema tufuate njia za dini fulani ktk kujenga uchumi wetu,huko ni kukaribisha vurumai zaidi,je dini nyingine wakisema nazakwetu hizi hapa mbona hatuzifuati?vipi wasiokuwa na dini tunawaweka ktk kundi gani?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…