Dr. Myles Munroe

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,883
2,765
myles.jpg

Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.

Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
 
View attachment 2588545

Drama at work

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni moja kati ya nchi zenye neema ya kipekee sana kwa
Daaaaa nakumbuka Kifo chake ni Miezi michache tu tangu alipokuja na kuondoka Tanzania.
Huyu mwamba alikufa yeye na mke wake kwenye ajali ya ndege huko Bahamas 2014.
Ndege iligonga crane kwenye eneo la maegesho ya meli wakati inatua.

Sidhani kwamba hicho kifo kilikuwa na mkono wa mtu.

Jamaa alisema wazi anapanga kufa pamoja na mke wake na anampenda sana. Pia akasema wazi ndiye aliyetoa bikira yake.
 
Tanzania ni moja kati ya nchi zenye neema ya kipekee sana kwa

Jamaa alisema wazi anapanga kufa pamoja na mke wake na anampenda sana. Pia akasema wazi ndiye aliyetoa bikira yake.
Sehemu nyingine alisema kwamba alishaomboleza kifo chake. Alishaomnoleza kifo cha mkewe pia, so kikitokea katika uhalisia hatakuwa na muda wa majonzi. Hata akifa yeye hataki kuona watu wamevaa mavazi ya kuomboleza au wakilia
 
View attachment 2588545
Kuna wakati hapa niliweka mada kuhusu huyu binadamu wa ajabu. Mtu usipomfuatilia utamwona wa kawaida sana, ila ukianza kumsikiliza utagundua ana mambo mengi. Dr. Myles hata alipokuja Tanzania nilibaki kumsikia tu na kuona mabango yake na kupotezea. Nillipokuja kuanza kumfuatilia youtube na vitabu vyake ndio nikaona kwa kweli niko shallow sana kidunia na kiroho. Sijajua watu kama hawa wanapataje ufunuo mkubwa hivi.

Mada ambayo sikujua iliishia wapi nilijaribu kuuliza ilikuwaje akafa? Kweli kifo chake kilikuwa ni wito wa Mungu au ni matakwa ya binadamu? Kuna watu hujiulizi mara mbili kuwasikiliza na kuwafuatilia. Apumzike kwa amani
Huyu si ndio alipata ajali ya ndege na familia yake? Waligonga sijui crane huko bandarini wakati wanatua
 
Sehemu nyingine alisema kwamba alishaomboleza kifo chake. Alishaomnoleza kifo cha mkewe pia, so kikitokea katika uhalisia hatakuwa na muda wa majonzi. Hata akifa yeye hataki kuona watu wamevaa mavazi ya kuomboleza au wakilia

Alikufa yeye na young pastors tisa!
 
Nililia sana alivyofariki ,he was highly gifted.
Kuna mahubiri yake youtube akipinga ushoga waziwazi bila kuuma maneno yaweza kuwa sababu ya ajali iliyochukua maisha yake na familia yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom