Ungesema DR MWAKYEMBE NAANZA KUMUUMBUA ningekuelewa. Pamoja na kwamba thread inapata wakat mgumu kueleweka, lakin pia ina dalili zote za kumuunganisha Mwakyembe na ufisadi.
Tena ndugu yangu ukitaka umuumbue fresh mpelekee issue yako RA au EL wakaiombee HOJA BINAFSI bungeni kabla bunge halijaanza. Huko utatusaidia kujulikana kwa m-miliki wa Dowans
kweli we bongolala haswaa unasema dr. Mwakyembe waumbuka (ni mwakyembe wangapi?) na tena thread yako hata haieleweki siwezi kuchangia. Nadhani kuna haja ya mod kufungua jukwaa mahsusi kwa ajili ya watoto maana great thinkers wamevamiwa na great sinkers.
Kampuni ya kutoka norway itazalisha umeme wa kutumia upepo 600mw ifikapo 2013 wilayani mbinga.mwewekezaji wa ndani ni alex lema.swali kina mwakyembe wameingiaje mkataba na govt na kuipa share 51% na mradi huo kuzalisha just 55mw?
Ungesema DR MWAKYEMBE NAANZA KUMUUMBUA ningekuelewa. Pamoja na kwamba thread inapata wakat mgumu kueleweka, lakin pia ina dalili zote za kumuunganisha Mwakyembe na ufisadi.
Tena ndugu yangu ukitaka umuumbue fresh mpelekee issue yako RA au EL wakaiombee HOJA BINAFSI bungeni kabla bunge halijaanza. Huko utatusaidia kujulikana kwa m-miliki wa Dowans
Preta,
Tuonee huruma...wengine tuna mtatizo ya mfadhaiko...
kweli wewe ni bongo lala. usomeki mkuu