Nami nimeona katika star tv magazeti. Pccb katika hili la kumkamata wamechemsha. Kwanza wabunge tuna kinga katika tunayosema si tu ndani ya ukumbi bali pia katika viunga vya bunge. Takukuru hawana mamlaka ya kumkamata mbunge kwa matamshi aliyoyatoa kwenye press conf iliyofanyika kwenye viunga vya Bunge. Wanajimwambafy tu, hawana uwezo huo. Jambo la msingi ni wao kuhakikisha wito wao unaitikiwa na wabunge na kupata maelezo yao. Ni muhimu wabunge kuonyesha jamii kuwa hatuna mawaa katika mienendo yetu. Kuhojiwa na kutoa ushirikiano ni hatua mojawapo ya kuithibitishia jamii kuwa tu wasafi.
na mie pia nasubiri kusikia majibu katika hili swali lakoNaombeni kuuliza vipi kuhusu ile tume/kamati aliyounda Mh Mwakyembe ya sakata la rushwa la Richmond???iliishia wapi?nadhani siko off point sana wadau mnisamehe kama niko off point.
Mheshimiwa Zitto tunaomba vifungu (kanuni za bunge, katiba au sheria nyingine yoyote) vinavyotoa hiyo kinga maana hapa kidogo mnatuchanganya, hasa mnapozungumzia kinga sasa hivi, huku hamkusema chochote kuhusu kinga ya mbunge hasa pale Mheshimiwa Basil Pesambili Mramba (kesi ya misamaha ya kodi) na Mheshimiwa Andrew Chenge (kesi ya kusababisha ajali) walipohojiwa na kesi zao kwa sasa ziko mahakamani!
Nami nimeona katika star tv magazeti. Pccb katika hili la kumkamata wamechemsha. Kwanza wabunge tuna kinga katika tunayosema si tu ndani ya ukumbi bali pia katika viunga vya bunge. Takukuru hawana mamlaka ya kumkamata mbunge kwa matamshi aliyoyatoa kwenye press conf iliyofanyika kwenye viunga vya Bunge. Wanajimwambafy tu, hawana uwezo huo. Jambo la msingi ni wao kuhakikisha wito wao unaitikiwa na wabunge na kupata maelezo yao. Ni muhimu wabunge kuonyesha jamii kuwa hatuna mawaa katika mienendo yetu. Kuhojiwa na kutoa ushirikiano ni hatua mojawapo ya kuithibitishia jamii kuwa tu wasafi.
Kuhusu kinga ya mbunge, mkuu, mi nakubaliana nalo kwani linamkinga mbunge awe huru kufanya maamuzi na kuongea kwa uwazi, sasa kama tayari tunaona kuwa TAKUKURU imetumika kutishia na kunyamazisha baadhi ya wabunge kama akina Mwakyembe, kama sheria ingeruhusu ingekuwa ni standard practice.
Mh Zitto, kutoa ushirikiano ni sawa, ila kumbuka kwamba inabidi kupima kama wito ni wa maana au la, vinginevyo unaweza kujikuta unaenda kwa ushirikiano, alafu ukakuta wapiga picha wakikutoa na kifulana na jeans wakidai "Mh akamatwa na TAKUKURU" Nadhani we unaelewa fika kwamba hapa kuna mchezo mchafu na kila hatua unayopiga kama mbunge ni lazima upime.
Nilishasema kwenye thread nyingine, wakijaribu kumkamata Mwakyembe, watakuwa wanajenga sifa na carrier ya Mwakyembe, na atakuwa ni STAR! Tehehehe. Mi ningekuwa Mh Mwakyembe ningewasubiri kwa hamu na kuwaita waandishi.... it is a great oportunity kuonekana kama mpiganaji...... nadhnai Mh Zitto knows what I mean..... he seized that opportunity kujijengea sifa kubwa na jina.... that is the game....
Buchanan, nadhani hapa wewe ndio umechanganya mambo mawili tofauti.Mheshimiwa Zitto tunaomba vifungu (kanuni za bunge, katiba au sheria nyingine yoyote) vinavyotoa hiyo kinga maana hapa kidogo mnatuchanganya, hasa mnapozungumzia kinga sasa hivi, huku hamkusema chochote kuhusu kinga ya mbunge hasa pale Mheshimiwa Basil Pesambili Mramba (kesi ya misamaha ya kodi) na Mheshimiwa Andrew Chenge (kesi ya kusababisha ajali) walipohojiwa na kesi zao kwa sasa ziko mahakamani!
Buchanan, nadhani hapa wewe ndio umechanganya mambo mawili tofauti.
Mimi nimemuelewa Zitto. Kasema wabunge wana immunity kwa yale yote wanayozungumza ndani au nje katika viunga vya bunge.
Kesi za wakina Pesambili Mramba ni ya jinai na haihusikani kwa namna yoyote na masuala ya Bunge.
Ni kama vile ukiua mtu kama alivyofanya Dito na wewe ni mbunge usitegemee kupata immunity. Au ukivunja nyumba ya jirani yako hata kama wewe ni mbunge usitegemee kupata immunity.
Unakumbuka kesi ya wale wabunge wa Zanzibar walioghushi nyaraka za uhamiaji? ( ingawa sielewi ziliishaje mahakamani)? hapo hakuna cha immunity kaka/dada.
Duh! wewe unachemka big time, Zitto amekuwa akijaribu kuweka mambo wazi kadiri ya ufahamu wake. Anajitolea sana kuhakikisha kuwa wana jamvi wa hapa wanapata kujua kuhusu upande wa pili wa mambo mengi yanayohusu bunge.SLOWLY BUT SURELY, nimeanza kupoteza imani yangu kwa Zitto: He can do anything to make ends meet, and this is really dangerous! Zitto, come back we need you. After all bado ni kijana, una nafasi ya kujisahihisha....ila maamuzi yako hivi karibuni yananitia shaka kwamba wewe ni kashushu ka kila upande (as long as you get paid)....BUT ask yourself, "FOR HOW LONG YOU WILL BE SAFE?" doing this kind of Hipocrity?
Duh! wewe unachemka big time, Zitto amekuwa akijaribu kuweka mambo wazi kadiri ya ufahamu wake. Anajitolea sana kuhakikisha kuwa wana jamvi wa hapa wanapata kujua kuhusu upande wa pili wa mambo mengi yanayohusu bunge.
Ni nadra sana kuwa na mtu kama huyu, ambae ameweza kuwa kiunganishi. Sijaona sehemu yoyote katika michango yake hapa ambayo inatia shaka kiasi cha wewe kuishiwa imani nae.
Ni vema ukawa unasoma mabandiko yake kwa umakini ili uweze kumfahamu, na sio kukurupuka na kuja na madai hewa hapa!
Naona bado unakuwa mgumu wa kufahamu, wengi wa watu hapa wamekuwa wakijadili issue pasipo kujua hali halisi ipo vipi.Ndhani mkuu ni ishu kama hii ya we mshabiki wa CCM kumtetea Zitto ndo inatufanya tukose naye imani... ghafla amekuwa msemaji wa TANESCO, Dr Rashid, Dowans na TAKUKURU... strange coming from an opposition MP.... don't ya think?