dr. mwakyembe uko wapi?

dr. mwakyembe uko wapi?

mwakabana

Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
31
Reaction score
7
jamani nauliza huu ukimya wa kaka yangu malafyale kuhusu kuwalipa au kutowalipa dowans hana comments au zile kelele zimezimwa na cheo coz by time he used to be hot ila sa ivi ni unpredictable hebu tutafakari kwa pamoja.NAWAKILISHA
 
Back
Top Bottom