Dr Mwakyembe alisema "anamwachia Mungu" na "hatalipiza kisasi" sasa hatujui hizo kauli zimebeba ujumbe gani!
nitumie lugha ya mtaani kidogo, nadhani wakyembe ni f.al.a flani, anatuficha taarifa watanzania tunayoitamani kuifahamu, halafu yakimfika shingoni aanze kuomba sympathy ya watz, anawaogopa wanadamu kuliko kumheshimu mungu! Aaah bonge la fa*la
Mdau anaonekana ni m geni humu ee!!
anaogopa uvunjifu wa amani nchini kwani wananchi wa mbeya wameshatangaza kujitenga na tanganyika iwapo watabaini kuwa kuna hujuma zimefanywa dhidi ya viongozi waoDr.Mwakyembe aje public aelezee umma ugonjwa unaomsumbua....amekaa kimya sna sijui anaogopa nn....
anaogopa uvunjifu wa amani nchini kwani wananchi wa mbeya wameshatangaza kujitenga na tanganyika iwapo watabaini kuwa kuna hujuma zimefanywa dhidi ya viongozi wao
huyu naye atulie sasa na maukurutu yake atupishe bana