Mwakyembe aliyeikana tafiti yake ya Phd kwenye maoni ya Katiba mpya,ndo nguli wa sheria unayemtaja? Yule Mwakyembe kwanini uamini report yake ya Kamati teuli ilihali aliisaliti research yake ya taaluma? Mwakyembe naye ni opportunist tu. Mwakyembe na Sitta wote #Wasaka tonge tu hao!
Nashauri Lowasa amwage Mboga na Ugali vyote,
Hili jizi na fisadi la kimataifa linatuaribia chama chetu.Hivi kwanini Jk,kinana na Nape wasilifukuze kwenye chama.Tunafanya kazi kubwa uku vijijin kupigania ushindi wa ccm lakini Fisadi Lowasa anasupress nguvu zetu zote
Na ukizingatia sasa hivi ALSISHASEMA baada ya ugonjwa wake ule sasa hivi kaimalika na MUNGU wake anampigania tegemea MAJIBU ambayo kuna watu wengine wataenda JERA wengine wanaingia kwenye uchaguzi.Nakuhakikishia kama utamwamsha lowasa usiku umwambie ni mwanasiasa gani unaemwogopa tz ,atakwambia ni dr mwakyembe na swali hlo hlo hata ukimfuata rostam na kumwuliza bdo atakwambia ni dk mwakyembe.lowasa amefanya kosa kubwa sana kujaribu kumwngiza dr mwakyembe kwenye hili na yeye anajua dk mwakyembe sio mtu wa kukurupuka na nilisha wahi kumuonya mzee kuhusu hili.
Mwakyembe aliyeikana tafiti yake ya Phd kwenye maoni ya Katiba mpya,ndo nguli wa sheria unayemtaja? Yule Mwakyembe kwanini uamini report yake ya Kamati teuli ilihali aliisaliti research yake ya taaluma? Mwakyembe naye ni opportunist tu. Mwakyembe na Sitta wote #Wasaka tonge tu hao!
Nashauri Lowasa amwage Mboga na Ugali vyote,
Ndo mana nawaambia mna uwezo mdogo kiakili kama hao mnao watetea,sikia unahitaji darasa kwenye hili ila ntakueleza kifupi,pale bandarini kuwa wizara nyingi zinafanya kazi pale kama viwanda na biashara hawa ndio wana ofisi za ukaguzi wa viwango kwa bithaa zinazo ingia kuna TRA wana ofisi pale kwa kuchukua kodi yao ndio maana ofisi ya mkaguzi ikasema mizigo ambayo haikukatwa kodi ni ile iliyokuwa ya transit yaani inayo kwend nje ya nchi pamoja na kazi nyngne hzi pia wanashughulikia TRA,na hyo ndo wizara ya feza ,mwakyembe na bandari wao wanashughulikia ufanisi na ndio maana akapunguza siku za kutoa mizigo kutoka 14hadi 9,yeye kwake ni kuhakikisha bandari inafanya kazi kwa ufanisi ili kuipatia TRA kodi zaidi.haya ni machache tu nayo kueleza ila ndugu yangu unapotaka kujifunza kitu usijifanye mjuaji.
We ndo unaubongo wa samaki kabisa ,mwakyembe kutotaja watu walio mwekea sumu haiondoi thana ya kwamba aliwekewa sumu,swali la muhimu hapa ni kwann aliwekewa sumu au ni kwann walitaka mwakyembe afe?haya ndo maswali ya kujiuliza kama mtu mwenye akili.jiulize mwakyembe anajua nn hasa mpaka watu wakakaa vikao na kuagiza masumu ya kumuua na wewe unajua mwakyembe haongeki wala harubuniki kwa hela na kama utataka kutaja watu wenye upeo mkubwa tz lazima uanze nae na hao waliotaka kumuua walisha liona hili,wakajua ukisha muua mwakyembe waliobaki ni vidagaa
Kwa nini mnang'ang'ania kubaki kwenye chama kimoja na jitu kama hilo??
Dr Mwakyembe gani huyo unayemuongelea? Huyu Dr. Harrison Mwakyembe Waziri wa Africa Mashariki ambaye Watanzania wote tunamfahamu ?!
Kweli Karume Jnr hakukosea aliposema kwamba Watanzania tuna akili kama za Samaki.
Dr. Mwakyembe huyu huyu aliyesema kwamba akitoka India kwenye matibabu atamtaja mtu alimye mnywesha sumu ya Pollonium. Lakini baada ya kutoka India na kuzawadiwa ka-cheo ka-full minister hadi leo hajamtaja mtu huyo, kinyume na ahadi yake kwa watanzania tuliomuombea?
I'm doubting Thomas kama Mwakyembe anaweza kumjibu Laigwani Lowassa. Ajiandae tu kutafuta Uraia pacha kama ENL ataukwaa Urais wa JMT
All in all mimi siamini hata mwana-CCM mmoja awe Lowassa au Mwakyembe, wote kama sio FISADI basi ni mlinda MAFISADI, hivyo they are birds of same feathers, they flock togother. Wait and see, the writting is already on the wall.
Hii comment ni aibu!Kamanda unataka Mwakyembe ajiuzulu kwa kukufurahisa wewe familia yake utaipa huduma wewe.
Katika sakata la Richmond,mh.Mwakyembe kuna mambo,kama sikosei, alisema waliamua kutoyasema ili kuikoa serikali isianguke.
lowassa ni mwizi kama wezi wengine mitaani