Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nimemsikia mwakyembe akisema Rais hajavunja katiba kuteua wanaume 6 kama wabunge, unacho jibu ni tofauti kabisa na utata uliokuwepo na unataka kuficha kuwa hakukua na tatizo la kikatiba katika uteuzi huo. Hoja siyo kuteua wabunge 10 , hoja ni kwanini uteuzi ulizidi nafasi zinazo hitajika kwa wanaume kinyume na katiba.
Jambo unalotakiwa kujibu hili.
Kama Rais ameteua wabunge 6 wakati katiba inasema walau 5 kati ya 10 wawe wanawake, Je hata kama hajateua wote 10 huoni kama mwisho wa wanaume ni wabunge 5.
Jambo unalotakiwa kujibu hili.
Kama Rais ameteua wabunge 6 wakati katiba inasema walau 5 kati ya 10 wawe wanawake, Je hata kama hajateua wote 10 huoni kama mwisho wa wanaume ni wabunge 5.