domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,545
- 1,719
- Thread starter
- #21
Weka tone kidogo tu la fikra kichwani mwako. Bila shaka unawafahamu hao wanaoitwa nafisadi wapo katika chama gani na serikali gani. Jiulize sasa kwa nini wao bado wako nao? Jiulize je hilo la hao kuwa mafisadi wamelifaha,u limi? Je wewe kuwafahamu hao jamaa ni mafisadi ilikuwa baada ya kuambiwa na makamanda wa mafisadi? Je hawa jamaa hawakuwahi kuwa pamoja? Halafu utaamua kuacha ushabiki na utafanya uchambuzi wa kina.Ajabu sana utakuwa umetumwa na mafisadi tu. Kuna hela nyingi zilitengwa kuwasafisha mafisadi kama bwama Manyama yeye kazi yake ni kumkosoa Sita, Mwakyembe na wengine na kumpamba mwenye mvi mwizi wa kutupwa. Anajjita mwalimu wa watu!