Dr. Mwaka na viagra yaliyomo yamo

Dr. Mwaka na viagra yaliyomo yamo

Hawa waganga wa tiba asilia wengi ni matapeli. Kuna kipindi niliugua nikaenda kwa Lupimo sanitariam clinic iko dodoma area C. wakanipa kushika kidude flani hv amaizing yaan... halafu computer ikaanza kuscan, kipimo tu nikaliwa 25,000 nilitajiwa magonjwa kibao yan et UTI, presure, ki-shuga na mengine kibaoo wakaniambia waniuzie dawa yao ya mimea asili inatibu kila kitu kwa laki sita. Bei ikanishinda nikaondoka nikaenda St Gema hospital nikapima nikaambiwa ni malaria na typhoid nilitumia dawa za hospital nikapona kbsaaaa mpaka leo ambapo gharama haikufika hata 20,000...........
Ndipo niligundua kweli hawa jamaa ni matapeli.... mhe Kigwangala watembelee na hawa........

Bila kusahau kuna wakorea wengine wapo njia panda ya area C karibu na simba hotel ni miongoni mwa matabibu wanaolalamikiwa sana Mhe Waziri tafadhari sana......
Hako kamashine no uongo mtupu.ingekuwa rahisi kiasi hicho so muimbili, kcmc na bugando wangetupa mamashine yote Mara ct csan, NRA n.k na kukinunua hiko kidude?wanacho kifanya same installed software yenye sehemu za ndani za mwili wa binadamu sasa umavyokishika wana I run hiyo sofwere ikianza kuonyesha sehemu hizo utaamini kuwa no za kwako kumbe uongo mbaya zaidi ni watu wa dini
 
Hawa waganga wa tiba asilia wengi ni matapeli. Kuna kipindi niliugua nikaenda kwa Lupimo sanitariam clinic iko dodoma area C. wakanipa kushika kidude flani hv amaizing yaan... halafu computer ikaanza kuscan, kipimo tu nikaliwa 25,000 nilitajiwa magonjwa kibao yan et UTI, presure, ki-shuga na mengine kibaoo wakaniambia waniuzie dawa yao ya mimea asili inatibu kila kitu kwa laki sita. Bei ikanishinda nikaondoka nikaenda St Gema hospital nikapima nikaambiwa ni malaria na typhoid nilitumia dawa za hospital nikapona kbsaaaa mpaka leo ambapo gharama haikufika hata 20,000...........
Ndipo niligundua kweli hawa jamaa ni matapeli.... mhe Kigwangala watembelee na hawa........

Bila kusahau kuna wakorea wengine wapo njia panda ya area C karibu na simba hotel ni miongoni mwa matabibu wanaolalamikiwa sana Mhe Waziri tafadhari sana......
Kwa sasa Naibu Waziri ana project moja tu nayo ni Tabibu Mwaka.
 
Hii stori kwa mara ya kwanza niliisikia kwa rafiki yangu ila sikutilia maanani maana kwangu nguvu za kiume sio tatizo..ishu iko hivi pale clinic kunafanyika usanii mkubwa sana ambapo mimea hupondwa pondwa na kusagwa na dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya CIALIS na Viagra mchanganyiko huo huwa packed katika viboksi vidogo vidogo kwa ajili ya matumizi kwa walio na upungufu...kwahiyo mtumiaji akila hii dawa hujifeel tofauti na kupiga game ya maana hii humfanya mwanaume kujiamini kisaikolojia hivyo kuwa na performance nzuri ila in long term ina madhara kwani unavozidi kutumia unapunguza sperm count na kuadhiri uwezo wa kudunga mimba.

Watanzania wengine vichwa nyumbu sana... Mwaka Juma, ni tapeli wa matapeli... kwanza hana taaluma.. ana just BASIC CERTIFICATE ya Herbal medicine... kasomea Introduction kwa miezi 3 tu ndio nchini China ndio akapata hiyo BASIC CERTIFICATE...!! Just kasome introduction to herbals kwa 3 months..!!

Watu walivyo manyumbu humu wanamtetea tapeli mkuu huyu..!! Hawajui afya ndio uhai wa Taifa... Huyu Mwaka ingetakiwa saa hizi ameshafungwa na kuwa castrated kabisa..!! damn..!.....Pili anatumia vitabu na vifaa vya hospital tena vya modern medicine..kutangazia biashara yake.. huyu nyangau huyu, sijui mtu mwenye akili timamu anawezaje kumsapoti tapeli huyu Mwaka...

What Mwaka does ni CHEATING KTK TIBA ZAKE.. NA NI HATARI SANA... aweka ENERGIZERS kibao ktk dawa zake za maji na unga, kisha ukitumia you FEEL ENERGY, na kuhisi umepona.. sbb mtu mgonjwa always ata feel weakness... sasa ukipewa a bit strong energizers you feel well kidogo na unajiona una nguvu NAKUDHANIA UMEPATA DAWA NZURI NA KUPONA MENTALLY uhisi hivyo... kumbe ni uhuni mkubwa sana... na utatumia miaka yote hakuna healing yoyote..!!

Is like utumie RED BULL au ORGANO GOLD kila siku utafeel energy ya kutosha na nguvu, but HAKUNA HEALING HAPO... NI UTAPELI... NA nikwambie, hizo dawa zinatumia kuamsha RESERVED BODY ENERGY for emergency... yaani matukio ya dharura body huwa ina akiba ya energy stored kwa dharura... sasa hizi stimulant zinapump damu kwa wingi na consume stored energy na kuhisi una nguvu, na ukipata nguvu utadhania umepona... kumbe ni UTAPELI... na UGONJWA UKO PALE PALE...!!

This is insane... immoral...!!Huyu tapeli mkubwa Mwaka angetakiwa amehasiwa na kufungwa saa hz...!Mh. Naibu waziri na Serikali tena wamechelewa... wangemkamata na kumpa adhabu ya kifungo kikubwa... afya za watanzania sio kufanyia mchezo kabisa...!!Hizo fake and false evidences eti kuna watu wanapona na kuzaa ukienda kwa Mwaka ni utapeli mkubwa... ananunua watu KUTOA USHUHUDA WA UONGO KAMA MAKANISA YA KILOKOLE YANAVYOFANYA...

USANII MTUPU... ILI WAPATE WATEJA NA KUWAHADAAA NA KUTAPELI HELA... Usanii wa Mwaka na hao mashuhuda wa uongo wananunuliwa wengi, ili kupata biashara...!! Na anajitangaza kuliko matangazo hata ya Coca Cola... tapeli mkubwa huyu.. i feel angry... sbb anaharibu na kucheza na kitu very very sensitive i.e AFYA za watanzania...!!

Mh. Naibu Waziri, Kigwangala hongera sana sana... Castrate him..!! damn..!!Watu wameshalishwa Viagra sana pale bila kujijua wanadanganywa kuwa no mimea asilo kumbe anachanganya Viagra na madude anayoyajua yeye.
Mbona unahasira nae sana?? Alishakutapeli na wewe au?? Pole sana aisee!!

Nasikia na wauza supu ya pweza huchanganya na viagra pia,
 
Mie ni muhanga wake huyu jamaa kuna kipindi nilipata ngiri,njugu zilikuwa zinaniuma like hell,shiiit...nikajichanganya kwa Mwaka aloo midawa na madumu haikukauka ghetto halafu michunguuu kipindi hiko msela sijaoa mwenye nyumba alinishangaa hadi kuuliza hizo sabuni nilizokuwa nanumua kila siku nikizitumia wapi kumbe hakujua kama ni dawa..nimetumia dawa miezi minne no kupona no nafuu nimeacha Tsh180,000/=zangu kwenye kale ka-clinic kake uchwara nikaja kupona mtaani kwa hawa wachuuzi wa kawaida wa dawa za asili kwa Tsh4,000/= tu..yaani elfu nne.huyu jamaa sitokaa nimsahau na nilichogundua mtu ukishakuwa mgonjwa unapata kiwewe na kuweweseka so utamuamini kila anaejifanya kutoa tiba ya yatatizo lako.hasa hasa wahanga wa mwaka ni wanawake walokwenye ndoa na hawajajaliwa uzao alikuwa anawakamata kweli kweli.
Kwa Dr mzizimkvu vp hujawahi kwenda?? Pole sana kijana
 
Kwa hilo sheria ichukue nafasi yake.

Isimuonee wala isimuone aibu!
 
Sitomsahau mkuu,alivyo msanii wakati naanza dawa alinisisitiza kama sitapona basi nitarudishiwa kiasi cha pesa ktk zile nitakazotoa,nilivyoona sipati hata nafuu siku hiyo nimeenda kwa nia ya kumweleza nikapokelewa na sijui msaidizi wake nae mjanja mjanja hivi maneno mengiii ananiambia eti hawawezi kurudisha pesa coz dawa zao wanaziamini mie ndiye niliekosea masharti so watanianzishia dose upya miezi mingine minne chini ya uangalizi wao ili waweze kuprove zaidi maendeleo yangu..it means nitoke home niende kwao wanipe dawa,mchana nende na jioni daily jamaa nilimtizamaaa nikamuuliza dk mkuu yupo wapi nikamweleze tatizo langu ananambia yupo kwenye meeting,nilitaka nikakunje nikaona nitazua mengine nikaondoka zangu.yaani wale ni wapigaji kama unavyoona waganga wa kienyeji.
Pole sana mkuu dr mwaka yeye anashinda kwenye media tu ila hawa matabibu wanaotumia nguvu kuwa kujitangaza kama vile wanafanya biashara ni full wasanii
 
Hako kamashine no uongo mtupu.ingekuwa rahisi kiasi hicho so muimbili, kcmc na bugando wangetupa mamashine yote Mara ct csan, NRA n.k na kukinunua hiko kidude?wanacho kifanya same installed software yenye sehemu za ndani za mwili wa binadamu sasa umavyokishika wana I run hiyo sofwere ikianza kuonyesha sehemu hizo utaamini kuwa no za kwako kumbe uongo mbaya zaidi ni watu wa dini

kweli kazi ipo unajua niliwahi kupimwa na hako ka machine basi nikaambiwa sitakiwi kuongea nitulie huku nimeshika kichuma flani hivi basi mpango uka run mara nikaambiwa tayari pembeni ya hicho ki laptop kuna printer ina print tokeo zima la mwili..... nikaingizwa kwa tabibu kusomewa matokeo mpaka nikawa nawaonea huruma.....alianza kwenye kichwa kuna tatizo, kifuani kuna mafuta, tumbo kuna wadudu, sasa kwenye dyudyu nikaambiwa unit ziko chache na hauwezi ukasababisha mutoto, miguu nikaambiwa hakuna urojo mifupa mibovu duh, kuja kwenye tiba ndio nikagundua kweli nina mafuta kwenye moyo maana ilitamkwa bill ni kheri ningejipeleka tmj au kwingine.... mwisho wakasema kama huwezi kununua dawa zote unaweza ukaanza kidogo kidogo......nikasema nakwenda kutoa hela kwa simu nikachimba mpaka leo niko poa dyudyu hii walisema haina units ishanipa na pacha...Mungu ni Mwema kwa kweli
 
Back
Top Bottom