Dr. Migiro vs her successor!!

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
[video=youtube_share;4yyOJDW4kO8]http://youtu.be/4yyOJDW4kO8[/video]

[video=youtube_share;Vx3-snbPgFM]http://youtu.be/Vx3-snbPgFM[/video]
 
Hapo umoja wa mataifa pana mkwara wa nchi tajiri kishenzi! Yaani kabla ya kuvuka barabara kuingia UN, pana ubalozi wa ujerumani una ghorofa 96 kwenda juu! Halafu ukiona ubalozi wa Uingereza ni rosheni sabini! Halafu ubalozi wa Israel rosheni hamsini! Halafu kuna jumba tajiri kubwa wa real estate duniani, Kramp towe ghorofa tisini na sita kwenda juu! halafu nyumba ya Umoja wa mataifa kuna kisiwa kiitwacho queen! kisiwa hicho kimesukwa na majengo ya kisasa huwezi kuamini kama binadamu kajenga ila utadhania mungu kakishusha!

Halafu ukitembea mita mia mbili utakutana na Hoteli iitwayo newyork Plaza. katika hoteli hiyo huingii mpaka uwe member! halafu kuwa member hakutoshi ni lazima ualikwe na mwenye hoteli! Yaani anakutumia kazi ya week end! ukiingia ndani ya hoteli hiyo mara utasikia unaulizwa hizo milion mbali zilizoanguka chini ni zako? wewe unalzimika kukunja sura na kujibu haraka hataaa! hayo ndiop mikwara ukiwa hotelini ndani. Halafu kila kitu ahakina bei ila wewe unapanga tuu! mara unasema nataka ile bia ya laki tano au msosi wa milion moja!

Mara unamuona msichana maarufu duniani akiingia miezani na bikini tuu!

Yaani humo lofa haingii kabisaaa!
 
Asante kwa habari hii. Sasa wewe Mbongo uliagizia msosi wa milioni ngapi? Maana naona uliingia!
 
Back
Top Bottom