Dr Mengi na prof Muhongo tumechoshwa na malumbano yenu hayana tija kwa taifa ni vyema mkakaa chini

MENGI HAWEZI KULUMBANA NA MUHONGO , KWA LIPI HASA ? MAANA MUHONGO ATAONDOKA NA JK LAKINI MENGI atabaki , kilichopo NI KWAMBA MUHONGO NDIYE ANAYELUMBANA NA MENGI KWA SABABU ANAZOZIJUA MWENYEWE .
 
MENGI HAWEZI KULUMBANA NA MUHONGO , KWA LIPI HASA ? MAANA MUHONGO ATAONDOKA NA JK LAKINI MENGI atabaki , kilichopo NI KWAMBA MUHONGO NDIYE ANAYELUMBANA NA MENGI KWA SABABU ANAZOZIJUA MWENYEWE .

Mkuu umesema kweli. Muhongo ni wale watu waliosoma lakini wamekata tamaa na wanataka kuwakatisha tamaa na wengine kwa nafasi walizopewa. Toka nipate akili sijawahi kumuona kiongozi kwa ngazi ya waziri mwenye kauli za kuwakatisha tamaa watu kwa kigezo ETI anasema ukweli.
Kiongozi anatakiwa akiona watu wanania ya kufanya jambo fulani la kimaendeleo kukaa nao na kuzungumza kujua ideas zao naye kuwapa changamoto watakazo kutana nazo ili kupata muafaka wa nini kifanyike na sii kuwabeza kwa kebehi na matusi kama vile yeye ndio Alfa na omega.
Hana faidayeyote ile kwa kuwapo kwake pale wizarani.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Makuwad wa Soko Huria,maneno ya MAREHEM PROF CHACHAGE HAYAJAANGUKA
 
Wakuu kuna ulazima wa kuweka historia sawa! Prof Muhongo Vs Dr Reginald Mengi ni Mpambano kati ya Kibaraka wa Wazungu Vs Mjasiriamali Mzawa Mwenye kujua Utajiri wa Nchi unavyotoroshewa nje ya Nchi!!! ... Tunajua kuwa Prof Muhongo ni mmojawapo wa EHM walioandaliwa kuhujumu Maliasili zetu... Mengi ujasiriamali zake unazalisha ajira na mapato nchini!!! Prof Muhongo kwa kutaka kwake MNCs zimiliki Rasilimali zetu bila ya kulipa kodi wala mrabaha anachochea Capital Flight! Kwanini Prof Muhongo halalamikii Almasi ya Mwadui kutoinufaisha Taifa? Je ni Sawa Barrick et al kuvuna dhahabu zetu bure bure? Je ni Sawa Uranium kuchimbwa bila malipo kwa Watanzania? Je ni Sawa Gesi yetu kuwaneemesha watu wa Magharibi?... Iko wazi kabisa kuwa Vita hivi ni vita kati ya Wazalendo na Puppets wenye kutenda kwa Niaba ya Nchi wahisani ....
 
MENGI HAWEZI KULUMBANA NA MUHONGO , KWA LIPI HASA ? MAANA MUHONGO ATAONDOKA NA JK LAKINI MENGI atabaki , kilichopo NI KWAMBA MUHONGO NDIYE ANAYELUMBANA NA MENGI KWA SABABU ANAZOZIJUA MWENYEWE .

Thank Mkuu, Huyu Prof. vijicent alivyowekewa kule Uswis vinamzuzua na sasa anadhihirisha ukibaraka wake! Nchi zingine hukusanya nguvu via organs mbali mbali including privete sector kuwekeza kwa niaba ya Jamii yao, Huku Prof Anafurahia jinsi ambavo MNCs zinavyokwapua Rasilimali zetu! Tunajua kuwa Wasomi wa Kiafrica ni ma puppet wa wazungu mwanzo mwasho! Yaani yeye badala ya kukataa TANESCO kukilimbitwa, MNCs kutokulipa kodi na Mirabaha stahili ...anatutukana usiku na mchana kuwa sisi hatuna mitaji! Kwani hayo madini na Gesi siyo Mitaji kwetu?...
 
Back
Top Bottom