Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU


Masanilo, Kimweri ,Mdondoaji Kanda2 n.kmimi naona hawa wote wameathirika na elimu ya UK, wameenda mbali zaidi na ku-adapt tabia za wa-UK, kujiona wao ndio kila kitu dunia hii kwenye issue za elimu.

Standard za elimu zimetofautiana kama tu shule za awali,(I mean from primary school to university) zimetofautiana mostly like hata kwenye ngazi zingine watatofautiana.

Na ninafurahi UK is not superpower, wangeiangamiza dunia na nyodo zao!

Kimweri ndio kaniacha hoi na 'total authority' yake.
 
Mchunguzi,

Mbona maelezo yako hapo juu ni kama hayako sahihi?

Hicho kipengere ni kwa ajili ya wanafunzi wanaofanya Masters na wanaweza kuanza Ph.D kabla ya kumaliza masters yao. Kwa maana hiyo huenda Mathayo hata alitumia zaidi ya miaka mitatu kufanya Ph.D yake maana muda mwingine alikuwa anachanganya na masomo ya masters.

Ukiunganisha Masters na Ph.D muda hupungua sana hasa kama topic ni ile ile uliyofanya kwenye masters. Ulipoishia kwenye masters unaweza kuendelea napo kwenye Ph.D.
 

Naomba uangalie tena ktk website hii
http://www.parliament.go.tz/bunge/mpcv.php?vpkey=376

Na uangalie kwa makini masters kaifanya kwa mda gani.Mimi sielewi lakini na bashiri jamaa alikuwa kishamaliza kila kitu kwa hiyo 2001 ali defend tu paper lake la masters na kuendelea na Ph.D. Sasa ktk hapo sioni kosa kabisa

Labda tu uje utuambia kwa vigezo kwamba jamaa hakumaliza hiyo kitu na ameinunua hapo tutaanza kujadili jinsi gani ya mushika huyu anaye gushi vyeti.
 

you can say that again!
 

India na South Africa! lol wakati huo huo anafundisha college BOTSWANA
 
Du kweli jamaa kaenda hospitali.Teh teh teh teh

Nilikamatwa na kazi mazee.....! ur guy was in India for post grad na MSc na wakati huo huo analamba PhD Free state sijui niwapi huko SA
 

Mkuu una bachelor wewe? Tuanzie hapo! The guy did his MSc in India PhD fake South Africa nyie vipi?
 
Nilikamatwa na kazi mazee.....! ur guy was in India for post grad na MSc na wakati huo huo analamba PhD Free state sijui niwapi huko SA

wewe muingereza!, ukiwa unasoma PhD chuo fulani lazima uwe campus ya hicho chuo? nauliza tu tafadhali

otherwise pole, wamekufunga bandeji? hiyo miti mibaya sana
 

Ndugu hapo umekosea kusema watu wana-adapt na Tabia za wa-UK,i have spent a lot of time in Japan/China/taiwan/Korea than i have spent in the whole of EUROPE combined.

Out of several degrees i have only one was obtained in EU,so i can frankly say i have less UK influence than you think.

the subject at hand was a guy who supposedly relies on information on the internet,which is just a reference point.

i have worked with many Japanese/chinese academicians and none has a <3 year PhD.most are averaging 3-3.5,and they are very capable.

I have an example of a Tanzanian fella i met in China 8 years ago,he was head to head with his proffesor trying to finish his PhD program before the required time,with the argument that he has "finished" his thesis in time and therefore deserves to graduate.lucky enough the so said professor,use to be my colleague mate in Japan several years before that,and we were good friends,i had a talk with him and he told me that my countrymates thesis was a normal one"and according to his academic/work guidelines" outstanding students graduate first,.these are type of stuffs a Japanese/Chinese professor will never tell a student.
if he sends bad student's first he lose "face among his peers" so he will keep postponing your defense until all the best ones are gone and if yours looks bad he can say-this is the last one,even i was trying to make it better,no longer it took this long!to understand such things you have to understand those people.
the guy eventually graduated on time,although it was only after the other "outstanding peers" graduated.

so it really comes down to how you do in your PhD thesis.language barrier is a huge issue,and takes a lot of hit to many students studying in ASIA.ofcourse they will never tell their friends back in Tanzania that,there in ASIA they are not as special as they used to be back in TZ(hence ground for jabs like-oh i will do my masters in 2.5 years(pure crap))

i have learned that recently there are many 2nd,3rd tier universities in ASIA that do not give shit about what you have done for your thesis.any university that has an english program in Japan,China,Taiwan does not give shit what you do in those programs,avoid those if you care about your education.if you care enough to do a a year or 2 in their language that will take you more time but will eventually give you better education.So i can reiterate that.i understand that part of the world enough to say 2 years and you walk away with a PhD is a PIPE DREAM!
 
wewe muingereza!, ukiwa unasoma PhD chuo fulani lazima uwe campus ya hicho chuo? nauliza tu tafadhali

otherwise pole, wamekufunga bandeji? hiyo miti mibaya sana

Huyu mwingereza bwana.Teh teh teh

Harafu unajua nchi inayoongoza kwa kuwa na vyuo feki ni uingereza, vyuo vya kuchukulia viza.teh teh teh teh.

Ningekuwa mie TCU ningeangalia kwa karibu wa hitimu wa uingereza ukiachilia mbali walio hitimu vyuo vya serikali.
 
wewe muingereza!, ukiwa unasoma PhD chuo fulani lazima uwe campus ya hicho chuo? nauliza tu tafadhali

otherwise pole, wamekufunga bandeji? hiyo miti mibaya sana

Teh teh teh labda kama ni masomo ya mahoka! Animal science ama Agriculture lazima uwe maabala! India, Botswana na South Africa hahahaha acheni kulazimisha vijana....arudi darasani bado kijana yule! Siasa hata ukiwa na Dip haina shida
 


Masanilo msaidie mwenzio.

Contact Information
Admissions Office (AO)
Graduate School of Science and Technology
Keio University
3-14-1 Hiyoshi, Kohoku-ku, Yokohama
Kanagawa 223-8522
JAPAN
Fax: +81-45-566-1464
URL: http://www.st.keio.ac.jp/english/index.html
E-mail: ao_st_inquiry@info.keio.ac.jp

Length
The Ph.D. program is normally completed in three academic years. There are some exceptions where a student may complete
his doctoral program in one to two and a half years (a total of three or more years including the time the student has spent in his
master's program) if he produces outstanding research results.
 

Matayo hana hiyo sifa! hata abstract ya mkutano hatujaiona hapa kwenye net....Poland Mkuu wale wa first track PhD huchukua muda gani kumaliza....vipanga hao
 
Matayo hana hiyo sifa! hata abstract ya mkutano hatujaiona hapa kwenye net....Poland Mkuu wale wa first track PhD huchukua muda gani kumaliza....vipanga hao

Poland noma
Ph.D 4-5 years si unajuwa majamaa ni makomunisiti sio kama wajepu.

Ukija na bachala yako hapa ya uk inabidi usipendi miaka 3 kupata master
teh teh teh teh
 
Poland noma
4-5 years si unajuwa majamaa ni makomunisiti sio kama wajepu.

Ukija na bachala yako hapa ya uk inabidi usipendi miaka 3 kupata master
teh teh teh teh

Asante sana kuwa mkweli.....hahahahah gongesha glass hapo! Muulize mdogo wako Wabs Canada PhD miaka mingapi?
 

Wanaomaliza hizo PhD in less than 3 years ni wale waliounganisha na Masters and usually they have to be very "outstanding" academically,and have to be the top 5% in the program.

In many years i have been in ASIA,this is just not possible for an african kid to go there and be the top 5% in Tokyo university,not yet,let alone this privilege is reserved for Students studying in Japanese.a lot of these things you can't understand until you get there,not by internet,not from a brochure.

usisome mavitu kwenye internet and take them for granted that is a very bad generalization of the reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…