Dr. Mashinji kuunga mkono Utekelezaji wa Ilani ya CCM

Dr. Mashinji kuunga mkono Utekelezaji wa Ilani ya CCM

Sidhani kama kuna tatizo.

Chadema ni moja kati ya viwanda kwa ccm cha kuzalisha watu makini na wachapa kazi ndio maana kila siku huandaa bajeti za kuwanunua watu makini wakiwaacha kindakindaki wakipigika.

Hii ni ishara njema ya umahiri kwa upinzani na siku upinzani ukiwa makini waizieni mamluki/mapandikizi wa kuwapa mbinu zao chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA inatolewa na Mwenyekiti?!

Mbona unamdhalilisha Mwenyekiti wa Chama kwa kumuonyesha kana kwamba anahodhi madaraka na yeye ndio mtoa nafasi ndani ya Chama.

Tafadhali badili na uombe radhi, hii haimpi sifa mwenyekiti bali unamharibia na kuiharibia CHADEMA kama Chama kinachoendeshwa na mtu mmoja.
 
Kipimo chake kikubwa Ni sasa, je alikuwa chadema kwa mapenzi binafsi au kwa ajili ya ruzuku?

Maana kwa sasa anasubiri kiiunua mgongo chake. Kama yuko vizuri akagombee ubunge mwakani kupitia chadema.
 
Nafasi ya Ukatibu Mkuu CHADEMA inatolewa na Mwenyekiti?!

Mbona unamdhalilisha Mwenyekiti wa Chama kwa kumuonyesha kana kwamba anahodhi madaraka na yeye ndio mtoa nafasi ndani ya Chama.

Tafadhali badili na uombe radhi, hii haimpi sifa mwenyekiti bali unamharibia na kuiharibia CHADEMA kama Chama kinachoendeshwa na mtu mmoja.
Yupo sawa mtoa mada, Mwenyekiti ndio anapendekeza majina/Jina alafu baraza kuu or kamati kuu ndio inapitisha au kulikataa. Kwahiyo automatically ni Mbowe ndio aliyechagua katibu mkuu. Na huu mtindo upo vyama vingi tu hata huko CCM katibu mkuu hugombei unapendekezwa then wanchama wanaidhinisha tu.
 
Siyo siri baada ya Mwenyekiti kupenyezewa nyeti kuwa Dr Mashinji atarejea chama dume ikabidi achukue maamuzi ya kumtosa na kumpa ukatibu kuu Mnyika.

Hata hivyo Dr Mashinji ataendelea na maamuzi ya awali kurejea CCM ambako atakuwa Daktari Mwandamizi wa KIONGOZI Fulani.

Stay tuned
Mbowe aliona mbali katika hili, imagine angehama wakati wa uchaguzi mkuu lingekua pigo kiasi gani!!
 
Back
Top Bottom