kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo hayapeleki michango ya nssf na kama yanapeleka ni pungufu na mpaka wengine wanazitumia kwa biashara kama pale sabasaba grounds. Dr. Dau ameifilisi nssf na anaendelea kuifilisi wakishirikiana na manji. Soon tu anauza zile ghorofa za pale tabata ilihali ananunua viwanja sehemu nyingine ambayo sio hot cake kama pale........gues nani atanunua.....u knw him