Dr. Masau aachiwa kwa dhamana - kesi ya malimbikizo

Samahani mkuu,hivi safari za India zinasimamiwa na kina nani? Naona kama Mengi huwa pia anahusika au nae ni...
Mimi nilidhani Mengi ni mfadhili tu. Waulize wakuu katika wizara ya afya ambao wameshupalia mipango ya kuwapeleka wagonjwa India.
 
Mkuu mwanakijiji

Huyu bwana anaendelea na shuguli zake??????

Kesi yake na waheshimiwa na NSSF wamefikia wapi?
 
Sasa hivi taifa lina uhaba wa madaktari

kwa nini asirudi kusaidia muhimbili ?

Lakini problem ni hizo school boy errors alizokuwa akifanya mpaka wagonjwa wakawa wanakufa ovyo pale thi
 
Weak got weak inst...kuna wanafiki wakienda nje ooh diaspora mrudi kusaidia maendeleo ya nchi. Huyu Dr alikuwa Texas anapiga kazi vizuri tu...maskini angalia jinsi wanavyomvuruga?
 
NSSF eeeeeeeeee! PTF (President Trust Fund) hawapeleki NSSF, hawalipi PAYE kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Haya mwende mkamkamate mkurugenzi wake
 
Weak got weak inst...kuna wanafiki wakienda nje ooh diaspora mrudi kusaidia maendeleo ya nchi. Huyu Dr alikuwa Texas anapiga kazi vizuri tu...maskini angalia jinsi wanavyomvuruga?

wewe mbona huelewi?

Dr Masau alikuwa na vyeti feki au hukusoma?
 
kuna siku mimi nilisema dr. Dau ni hafai kuwa kiongozi,jf mkanishambulia sana lakini inshalaah sakata lake na dr. Masau linaendelea na mtagundua mengi. Mtanzania wa leo mwenzako akikuuma sikio tafakari kwanza na kisha tafiti halafu malizia. Mimi nimefanya kwenye mashirikia matatu ambayo hayapeleki michango ya nssf na kama yanapeleka ni pungufu na mpaka wengine wanazitumia kwa biashara kama pale sabasaba grounds. Dr. Dau ameifilisi nssf na anaendelea kuifilisi wakishirikiana na manji. Soon tu anauza zile ghorofa za pale tabata ilihali ananunua viwanja sehemu nyingine ambayo sio hot cake kama pale........gues nani atanunua.....u knw him







 
Last edited by a moderator:
Tanzania Cigarete Company9 TCC) Mwaka kuanzia 2004 kuendelea kuna wafanyakazi mcihango yao haijawasilishwa NSSF. Hebu NSSF Mchukue hatua suala hili haraka hawa wanyonyaji msiwaachie kabisa. Wafikishwe mahakamani.


NSSF bwana, mbona kule Habari Corporation kuna watu kibao wanadai NSSF zao za miaka karibu kumi zinazozidi milioni 80 na hakuna aliyefikishwa mahakamani? Au ndi yale yale ya KAgoda?

Kagoda +-=EPA - Jeetu PAtel and others - Mramba na Yona???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom