The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
So, Nyerere - leader.
Mwinyi - ruler.
Mkapa - hard worker.
Kikwete - A bit of everything but lacks vision.
Mimi namfananisha Magufuli na Mkapa, though huyu anaonekana more hardworking than Mkapa ila pia hana vision. Anahitaji watu wazuri kumuongoza.
Lets wait n see who's gonna be our next president , ukawa nao sio wa kubezwa sana.
Mkapa hakuwa mpenda masifa
na alikuwa ana exposure ya kimataifa
huyu hatujui atakuaje
mkapa alikuwa akitaka ku relax ni pombe tu kimya
huyu mpenda wanawake na mpenda sifa
asipokuwa makini anaweza kufanya teuzi za sketi na kuharibu na kukoroga kabisa