VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Kazi Yaani CCMHuwa Ni Wepesi Kusahau.
Mnakumbuka Dodoma Jk Aliposema Mbona Hamshangii.
Hii Ni Historia Kupata Makamu Wa Rais Mwanamke
Baadhi Tulishangaa Kwa Maana Uchaguzi Iweje Tupate Makamu Kwa Kutambulishwa Tu. Hiki Ndicho Kinachotokea Sasa Yaani Wanaona Kuwa Uchaguzi Tayari Na Wananchi Wamewachagua.
Uchaguzi ndo umeisha hivyo, nani wa kumshinda TingaTinga?Kazi Yaani CCMHuwa Ni Wepesi Kusahau.
Mnakumbuka Dodoma Jk Aliposema Mbona Hamshangii.
Hii Ni Historia Kupata Makamu Wa Rais Mwanamke
Baadhi Tulishangaa Kwa Maana Uchaguzi Iweje Tupate Makamu Kwa Kutambulishwa Tu. Hiki Ndicho Kinachotokea Sasa Yaani Wanaona Kuwa Uchaguzi Tayari Na Wananchi Wamewachagua.
Tangu ulipoteuliwa na kuchaguliwa kuwa mgombea wa CCM, umekuwa ukihutubia kikampenikampeni. Kuanzia Dodoma, Dar es Salaam hadi Zanzibar,mikutano yako imesheheni ahadi. Kiuchaguzi,ahadi hutolewa kipindi cha kampeni.
Unapozitoa ahadi katika mikutano isiyo ya kampeni unatafsirika vibaya.Unavunja sheria za uchaguzi mchana kweupe Dr. Magufuli tulia.
Mikutano inayoratibiwa na chama kwasasa ni mikutano ya kukutambulisha. Si ya kampeni. Usiahidi. Unatakiwa ujitambulishe na kuketi.
Kama afanyavyo Mama Samia Suluhu Hassan. By the way,kumbe pamoja na 'ujembe' wako bado hautambuliki hadi utambulishwe!? Subiri wakati wa kampeni uhaidi bila ushahidi. Uwanja utakuwa wako. Si sasa. Utaharibu!
Viongozi wa chama nanyi mtulie tusubiri kumpigia chapuo mgombea wetu wakati wa kampeni. Tutamuharibia na kujutia. Wananchi wanatuchora tu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam.
Lubuva ame-relax tu.
Magufli ni majangaa
Kweli naona amesahau yaliyompata Lowassa. Alikuwa wa kwanza kutangza na mbwembwe nyingi lakini akaachwa na yeye Magufuli aliyekuwa wa mwisho mwisho kutangza akapata nafasi. Naona kama ana kihere here ambacho kitamponza. Hata huo ugeni rasmi wa pambano la Yanga na Gormahia angekuwa na watu wenye busara au yeye mwenyewe asingekubali kwenda kwani TFF watamponza kwani hizo ni kampeni za wazi. Aangalie atachoka mapema na kuwachosha watu kwani akitokea mwingine mwenye nguvu UKAWA watu watageuza nia zao kwake. Inaonesha wazi hii nafasi aliipata kama bahati ya mtende kutokana na msuguano mkali kati ya Membe na Lowassa. Baada ya Lowassa kukatwa wakawaweka hao akina Magufuli na wenzake kama bosheni tu lakini lengo lilikuwa Membe. Wafuasi wa Lowassa kugundua hivyo wakaamua kuhamishia kura zao kwa Magufuli wakati vibopa walitegmea kuwa baada ya kumng'oa Lowassa ingekuwa rahisi kwa Membe kupita kwa urahisi. Hivyo kura za Lowassa ndizo zilizompa nafasi hiyo Magufuli na tunaweza kusema Magufuli amshukuru na kuwashukuru wafuasi wa Lowassa. Sasa baada ya hapo ni kama mtu aliyestuliwa kwakuwa hakujipanga vizuri. Anatakiwa apate wataalamu wa kumuelekeza cha kuongea na wapi aende so kila wakati "sitawaangusha..., nitaulinda muungano..." nk Atoe hoja za kuwakwamua wananchi kwenye umasikini na unyonge. Muungano uko kikatiba hakuna mtu aliyesema anataka kuuvunja yeye aseme nitailinda au kufuata katiba humo ndimo muungano umoatulie....achunge kauli..mara aseme wagogo ni watani zake na kwamba usiku wa manane huwa wanafanya nini sijui....aache papara mara apige ngoma....aimbe manyimbo ya kisukuma,washauri wakae nae wampange