johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Ni mkurugenzi wa kituo!Kakobe nani? Hao ma baba zako huteuliwa nanani?
Ni mkurugenzi wa kituo!Kakobe nani? Hao ma baba zako huteuliwa nanani?
Biblia.Kwa hiyo kipimo cha " juhudi" za uchungaji wa Kakobe kilifanywa na nani?
Heri wewe unayehubiriwa kwa luninga!Una matatizo kutosoma biblia na kulishwa maneno na warumi una hasara ya ujinga wa mambo ya rohoni
Mungu huweka viongozi atamaaniye kazi ya uaskofu atamani kazi oliyo njema, uliona wapi utaratibu wa kuwekwa uaskofu.Ni mkurugenzi wa kituo!
Soma comment ya muumini mwenzio thomas 10 utamjua Askofu ni nani na anapatikanaje!Nini tafsiri ya neno Askofu? Ukishajua njoo uendelee kubishana!
Kwahiyo Zakaria alijitathmini. akajipima akaangalia level ya uelewa ya kondoo zake akina jspmsl then " akajitwisha" uaskofu! Hongereni.Mungu huweka viongozi atamaaniye kazi ya uaskofu atamani kazi oliyo njema, uliona wapi utaratibu wa kuwekwa uaskofu.
Kwenye biblia yako umemsoma papa?
Si mjaribu kufuta, muone kitakachowapata? Unafikiri Kanisa ni maandishi ya chaki ubaoni, unachukua duster, unafuta tu? Mnarukaruka tuuu, miaka yote hii; tutafuta Kanisa, tutafuta Kanisa! Mara Tanesco, mara Tanroads, mara TRA, mara takataka gani, sijui. Wapuuzi kabisa. Waulizeni Warumi watawaambia nguvu ya Kanisa. Kamtu kamoja tu kamepangishwa kwenye majengo ya wananchi pale Barack Obama Avenue(hakajui hata uchungu wa kodi), eti, "nitafuta Kanisa"; WEWE!Hakuna taasisi isiyo ya kiserikali ambayo haiwez kufutwa.
Kama unataka kuegemea kweny hilo, basi yaonekana fika kuwa umelewa mvinyo ulo-expire.
Makanisa yote yanaweza kufutiwa usajili
Vyama vya siasa vyote vinaweza kufutiwa usajili
Taasisi nyingine zote (NGOs) zinaweza kufutiwa usajili
Ni suala la nani ameshika mpini na ana nguvu ipi
Kwa maana hiyo, hata kanisa lako linaweza kutishwa, na lisifanye lolote.
Dalili za kuishiwa hoja!
Mmewapelekea mpemba kinondoni!
Katie mkono pale utaona ni askofu au hapana nendeni mkatubuKwahiyo Zakaria alijitathmini. akajipima akaangalia level ya uelewa ya kondoo zake akina jspmsl then " akajitwisha" uaskofu! Hongereni.
We late ubaguzi wenu..Mmewapelekea mpemba kinondoni!

Leo nimejumuika na Waumini wenzangu katika Dominica ya 3 mwaka B parokia ya Chuo kikuu Dodoma kigango cha mtakatifu John Fisher School of social Science,Neno kuu lilikua "TUBUNI NA KUIAMINI INJILI"
Nikakumbuka saga la namba moja wetu pale juu na Baba Askofu Kakobe pale ambapo watawala wanakosolewa na kudai Viongozi wa Dini wanaingilia mambo ya Siasa.
Kwa kweli mkatubu tu Mungu anampenda anaejishusha.
Nawasilisha.
Ila ni baba paroko?,Kakobe siyo " Baba Askofu", sahihisha kwanza ndipo tujadili hilo neno ulilohubiriwa leo!