Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 8,227
- 14,194
Mkuu naomba kuuliza 'sasa na wazazi wetu wa kiume tunakosea kuwaita baba'Mimi sina shaka na cheo chake cha Uaskofu ninachokataa nikumuita Baba wakati Biblia inakataza,naweka ushahidi kwa lugha mbili.....
Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
And call no man your father upon the earth: for one is your Father, which is in heaven.
Huyo yohana mbatizaji fake anachanganya siasa na dini. Ameipenda siasa kuliko Mungu wake.