Dr Magufuli katika ujenzi wa barabara

Dr Magufuli katika ujenzi wa barabara

unnamed%2B%2818%29.jpg


Mh Freeaman Mbowe akiongea na Mh' Waziri wa Ujenzi Mh John Magufuli wakati wa hafla ya kuchangia Ujenzi wa madarasa ya Shule iliyopo Masama.
unnamed%2B%2817%29.jpg
Mh Freeman Mbowe akizungumza jambo na Mhe. waziri John Pombe Magufuli wakati wa kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kwa Sadala - Masama,


Machame km 16
unnamed%2B%2819%29.jpg
unnamed%2B%2820%29.jpg
 
Hata kama upo kwenye "heat" lakini isiwe sababu ya kuwa mkali,jibu swali which organ do you use to think? Kama hujalielewa swali unaruhusiwa kuuliza.tuliza ball bidada

Acha upu.mbavu jadili hoja pumba.v mkubwa wewe
 
Kila alichofanya haikuwa zawadi au hisani, ni wajibu wake kwetu.
Muhimu kuchunguza kama fedha iliyotumika inaendana na kazi ndipo tumpe pongezi
 
tukipiga na ten percent zake hapo kaiba kiasi gani...!!!alafu 17km ya Usagara kisesa inajengwa mwaka watatu huu kandarasi imetolewa kwa kujuana na kubebana
 
Back
Top Bottom