Dr Magufuli katika ujenzi wa barabara

Dr Magufuli katika ujenzi wa barabara

Sasa wewe kwanini hukuniuliza nimetumia data gani kumpa asilimia zile badala yake ukanishambulia?
Kwa akili zako unaona uko sahihi?
Laiti kama ungeniuliza kistaarabu ningekujibu kistaarabu, lakini kwakuwa umekuja kwa personal attack sina muda wa kuwa mstaarabu kwako na wala sikuambii nimetumia data gani.

Huwezi kujibu kistaarabu sababu hujawahi kuwa.
 
Khaa!! Magufuli amejenga hzo barabara kwa kodi zetu tena nyingi ziko chini ya kiwango.

Barabara ya Iringa-Mbeya imejengwa hovyo inachinja watu tu, mashimo kama visima vya maji katikati ya barabara.

Toa hoja zenye uthibitisho sio kukopi kwenye makaratasi, watz sie ni mabingwa wa kuandika kwenye karatasi sio utendaji.
 
Sasa wewe kwanini hukuniuliza nimetumia data gani kumpa asilimia zile badala yake ukanishambulia?
Kwa akili zako unaona uko sahihi?
Laiti kama ungeniuliza kistaarabu ningekujibu kistaarabu, lakini kwakuwa umekuja kwa personal attack sina muda wa kuwa mstaarabu kwako na wala sikuambii nimetumia data gani.

Shule muhimu sana kwenye udadavuzi wa mada zinazohitaji relevant data displasion.
 
Khaa!! Magufuli amejenga hzo barabara kwa kodi zetu tena nyingi ziko chini ya kiwango.

Barabara ya Iringa-Mbeya imejengwa hovyo inachinja watu tu, mashimo kama visima vya maji katikati ya barabara.

Toa hoja zenye uthibitisho sio kukopi kwenye makaratasi, watz sie ni mabingwa wa kuandika kwenye karatasi sio utendaji.

Bora useme wewe my dear, hawa CCM wanadhani Watanzania wa sasa tunadanganyika kama walivyowadanganya bibi na babu zetu.
Sasa hivi tunafuatilia na tunaona kila kitu.
 
Bora useme wewe my dear, hawa CCM wanadhani Watanzania wa sasa tunadanganyika kama wakivyowadanganya bibi na babu zetu.
Sasa hivi tunafuatilia na tunaona kila kitu.

Nashangaaa! Wawadanganye wajinga wenzao, mambo yote yaliyofanyika ambayo wanasema yameweza lazima wajue hayakustahili kua hvo.

Hiki ki nchi rasilimali kalizo nazo haziendani na hali kaliyonayo haka kanchi, wananchi wanahali mbaya sana kimaisha, alafu watu wanathubutu kusimama jukwaani kuwahadaa wananchi tena loh!!

Ccm kwa ujumla wameshindwa, wapumzike kidogo basi.
 
Ujue CCM ndio wametufikisha hadi hapa tulipo na sisi Watanzania tulio wengi tumeamka na kuuona udhalimu wao.
Kinachoshangaza zaidi ni kuwaona walio wajinga wachache wanaoendelea kushabikia udhalimu huu!
Inahitaji akili za mirembe ili kuendelea kuishabikia CCM. Labda wale wenye maslahi maana wanashabikia maslahi yao, vipi hawa masikini wenzetu?
 
Barabara karibia zote..KIWANGO HAKUNA..Barabara ya LAMI ina mitaro katikati,,,Ulishawahi kuona wapi..mfano kipande cha Chalinze mpaka Mlandizi..ni hatari kubwa....mashimo MAKUBWA MAKUBWA barabaran..na kila siku yanasababisha AJALI mbayambaya...Magufuli huyuhuyu yupo tuuu...ANAANGALI (kumbuka ajali ya Mafinga ya Majinja,ikaua watu zaidi ya 50)...halaf eti amejenga barabara..acheni kuwa MATEKA bana
 
Baadhi ya kazi za mzalendo wetu Daktar Mkemia John p.Magufuli Katiak ujenzi wa barabara.Barabara zipo nyingi na hizi ni chache tu:-

• Kagoma – Biharamulo – Lusahunga (Km 154);

Hapa nilidhani ni Kigoma-Biharamulo-Lusahunga (barabara ya tope masika, na vumbi-poda kiangazi) kumbe ni Kagoma

Ningejiuliza huyu mleta uzi kala maharage ya wapi?
 
MIAKA 54 YA UHURU
attachment.php
 
Baadhi ya kazi za mzalendo wetu Daktar Mkemia John p.Magufuli Katiak ujenzi wa barabara.Barabara zipo nyingi na hizi ni chache tu:-

• Manyoni – Isuna (Km 54);
• Kagoma – Biharamulo – Lusahunga (Km 154);
• Ndundu – Somanga (Km 60);
• Sumbawanga – Matai – Kasanga (Km 112);
• Marangu – Tarakea – Rongai – Kamwanga (Km 98);
• Minjingu – Babati – Singida (Km 222);
• Korogwe – Handeni (Km 65);
• Mziha – Turiani – Magole (Km 84.6)
• Dumila – Kilosa (Km 63)
• Bariadi – Lamadi (Km 71.8);
• Mbeya – Chunya – Makongolosi (Km 115);
• Tanga – Horohoro (Km 65);
• Masasi – Mangaka (Km 54);
• Makofia – Msata (km 64);
• Mwandiga – Manyovu (km 60);
• Handeni – Mkata (km 54);
• Kisarawe – Maneromango (Km 54);
• Njombe – Makete (Km 109).
• Barabara ya Kilwa/DSM (km 12);
• Barabara ya Mandela (km 16);
• Msimba – Ikokoto – Mafinga (Km 219);
• Arusha – Namanga (Km 105);
• Chalinze – Segera – Tanga (Km 245); na
• Isaka – Lusahunga (km 242)
• Kwasadala-Masama (Km 12.2);
• KiboshoShine-Kwa Raphael-International School (Km 43);
• RauMadukani-Mawela-UruNjari (Km 12.5);
• KiruaNduoni-Marangu Mtoni (Km 31.5);
• Kahama Mjini (Km 5).
(d) Kuanza Ujenzi mpya na ukarabati kwa Kiwango cha Lami Barabara
Zifuatazo:
40
• Bunda – Kisorya – Nansio (Km 93);
• Tunduma – Sumbawanga (Km 230);
• Rujewa – Madibira – Mafinga (Km 151);
• Babati – Dodoma – Iringa (Km 523);
• Sumbawanga – Kanyani – Nyakanazi (Km 562);
• Nata – Fort Ikoma (Km 141);
• Nzega – Tabora (Km 116);
• Manyoni – Itigi – Tabora (Km 264);
• Ipole – Koga – Mpanda (Km 255);
• Makurunge – Saadani – Pangani - Tanga (Km 178);
• Matai – Kasesya (Km 65);
• Mangaka – Mtambaswala (Km 65);
• Mto wa Mbu – Loliondo – Mugumu – Nata – Makutano (Km 452);
• Kyaka – Bugene (km 59);
• Mbinga – Mbamba bay (Km 66);
• Tunduru – Namtumbo (Km 194);
• Kamwanga – Sanya Juu (Km 75);
• Tabora – Urambo (Km 90);
• Uvinza – Kidahwe (Km 77);
• Daraja la Malagarasi na barabara zake (Km 48);
• Uyovu – Bwanga – Biharamuro (Km 112);
• Kisesa –Usagara (Km 17);
• Namtumbo – Songea (Km 70);
§ Peramiho – Mbinga (Km 78);
§ Kawawa Jct – Mwenge – Tegeta (Km 17);
• Segera – Same – Himo (km 261);
• Makambako – Songea (km 295);
• Mtwara – Masasi (km 200);
• Arusha – Moshi – Himo – Holili (km140);
• Arusha – Minjingu (km 104);
• Nyanguge – Musoma – Sirari (km 262); na
• Sanya Juu – Bomang'omba (Km 25).
(e) Kuzifanyia Upembuzi na Usanifu Barabara Zifuatazo:-
• Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (Km 149);
• Lupilo – Malinyi – Kilosa kwa Mpepo – Londo – Kitanda (km 396);
• Ifakara – Mahenge ( Km 67);
• Kibondo – Mabamba (km 35);
• Kolandoto- Lalago - Mwanhuzi - Matala - Oldeani Jct (km 328);
• Omugakorongo – Kigarama – Murongo (km 105);
• Mpemba – Isongole (Tanzania/Malawi) (km 49);
• Soni – Bumbuli –Dindira – Korogwe (km 74);
41
• Makofia – Mlandizi – Vikumburu (Km 148);
• Kibaoni – Majimoto – Inyonga Km 162);
• Mpanda- Ugala – Kaliua – Ulyankulu – Kahama (km 428);
• Makongolosi- Rungwa – Mkiwa (km 412);
• Mtwara – Newala – Masasi (km 209);
• Handeni – Kiberashi – Kondoa – Singida (Km 460);
• Kibaha – Mapinga (Km 23);
• Geita-Bukoli-Kahama (Km 107);
• Mbande-Kongwa Jct – Mpwapwa (Km 50).

Vivuko
:
(a) Msanga Mkuu (Mtwara),
(b) Rusumo (Kagera),
(c) Itungi Port – Matema (Kyera) na
(d) Kilambo (Mtwara) kitakachotoa huduma kati ya Tanzania na
Msumbiji.
. Madaraja
(a) ujenzi wa daraja la mto Kilombero na daraja la mto Mwatisi
katika mkoa wa Morogoro.
(b) ujenzi wa daraja la Malagarasi, Kigoma.
(c) ujenzi wa Daraja la Kigamboni ili
kuunganisha Kigamboni na Jiji la Dar es Salaam.
(d) ujenzi wa daraja la Nangoo (Mtwara), Sibiti (Singida), Ruhekei
(Mbinga) na Mbutu (Igunga).

Hizi barabara zimejengwa kwa kutumia pesa ya mtu binafsi au kodi za watanzania?
 
Flyovers alizoahidi Kikwete na Magufuli kwa Ubungo na TAZARA mbona hazionekani japo dalili za kuanza tu!

Barabara ngapi zipo chini ya Kiwango; kipande cha nzega kuelekea Shy, Nangurukuru Mtwara, Nangurukuru Masasi n.k
 
Back
Top Bottom