Dr. Magufuli apiga kambi Morogoro kusimamia ujenzi daraja la Dumila lililosombwa na maji!

Inategemea na umuhimu wa barabara pia

Serikali makini huwahudumia wananchi wake kwa haraka hivi inapotokea dharura, Hongera Waziri Magufuli. Mungu aendelee kukupa Nguvu za kuwatumikia watanzania bila kuchoka.
 
Naona kama alikuwa anawachelewasha tu watu kufanya kazi......ingekuwa nae ana gari lake wanafuata mawe, tungesema anafanya kazi

Unapoona mheshimiwa waziri mzima anaongoza lorry kumwaga kifusi/mawe, ujue kuna tatizo kubwa; actually ni janga kubwa la kimfumo. This is clear indication of a system failure! Tanroads wako wapi? Kitengo cha maafa wako wapi? Very poor of us! Hatuwezi kuendesha nchi kwa mtindo wa kutegemea vipaji na juhudi za mtu binafsi! This is wrong! Suppose yangevunjika madaraja mawili au matatu, Dr. Magufuli angejigawa vipi kushughulikia yote matatu? We should think!

Watanzania wenzangu, tuyatafakari maisha yetu na maendeleo ya nchi yetu. Mtindo wa kusubiri kuongozwa na matukio hautatufikisha popote! It is tantamount to taking a good road to hell!

I submit.
 
@@[0:[0:1:Safi sana huyu mh. namkukubali sana kwa nini asigombee urais!? yeye hata hoby ya urais hana yupoyupo tu wakati wananchi tunamhita why mh. pombe]].
 
Huyu jamaa haitaji kununuwa waandishi wa habari wamwandike vizuri, jana nimemsikia Mathayo akilalamika eti Wizara ya vitoweo haitengewei bajeti ya kutosha nikajiuliza hata kukomesha uvuvi haramu kwa kuwatumia askari wetu, au kuwakamata wafugaji haramu kunahitaji upewe bajeti kiasi gani? Nikagundua kuwa huyu huwa yupo bize na baishara zake hivyo uwaziri alikuwa akiufanya kama chaguo la pili.

ntamshauri achukue form kwa kweli.
 
Huyu ndiye watanzania tuliyependezwa naye! Rais mtarajiwa akichukua form nitampa kura yangu, siyo wale wa Diaspora au bodaboda. Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza, hakiitaji kufanya harambee wala kusema anammadui watakimbia nchi akiwa Rais, Bravo Magufuli.

mkuu n dhambi kubwa,kuifananisha

disapora na mafsad
 
Huyu jamaa haitaji kununuwa waandishi wa habari wamwandike vizuri, jana nimemsikia Mathayo akilalamika eti Wizara ya vitoweo haitengewei bajeti ya kutosha nikajiuliza hata kukomesha uvuvi haramu kwa kuwatumia askari wetu, au kuwakamata wafugaji haramu kunahitaji upewe bajeti kiasi gani? Nikagundua kuwa huyu huwa yupo bize na baishara zake hivyo uwaziri alikuwa akiufanya kama chaguo la pili.

yule waziri na mawaziri wengi wao mi nadhan huwa wanawaza ile nafas si majukum ya nafas
 
Dr.Magufuli alivyopiga kambi huko Morogoro kusimamia Ujenzi wa daraja la Dumila:
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    85.4 KB · Views: 135
  • image.jpg
    image.jpg
    86 KB · Views: 136
  • image.jpg
    image.jpg
    65.1 KB · Views: 137
  • image.jpg
    image.jpg
    61.6 KB · Views: 126
  • image.jpg
    image.jpg
    98.8 KB · Views: 126
Mfumo wote ni mzigo tu hakuna pa kujikoshea. Ni Chama Cha Magamba a.k.a Chama Cha Mizigo. Magamba yasiyovulika na mizigo isiyotelemshika!
 
ntamshauri achukue form kwa kweli.

Nani ampe Pombe urais, Chama Cha Mizigo a.k.a Chama Cha Magamba, thubutu! Mizigo na magamba ndiyo wenye chama. Akitoka huyu, anaingia pacha wake ambaye hawajakutana barabarani! Ni Chama Cha Majanga!
 
Unapoona mheshimiwa waziri mzima anaongoza lorry kumwaga kifusi/mawe, ujue kuna tatizo kubwa; actually ni janga kubwa la kimfumo. This is clear indication of a system failure! Tanroads wako wapi? Kitengo cha maafa wako wapi? Very poor of us! Hatuwezi kuendesha nchi kwa mtindo wa kutegemea vipaji na juhudi za mtu binafsi! This is wrong! Suppose yangevunjika madaraja mawili au matatu, Dr. Magufuli angejigawa vipi kushughulikia yote matatu? We should think!

Watanzania wenzangu, tuyatafakari maisha yetu na maendeleo ya nchi yetu. Mtindo wa kusubiri kuongozwa na matukio hautatufikisha popote! It is tantamount to taking a good road to hell!

I submit.

..exactly what I was thinking.

..huyu amekuwa wizara ya ujenzi kwa zaidi ya miaka 10.

..muda wote huo ameshindwa kujenga timu itakayomsaidia ktk majukumu kama usimamizi wa ujenzi wa daraja?

..yaani waziri mzima anasimamia ujenzi wa daraja, watu wa chini yake wanafanya kazi gani?

..yeye waziri ana utaalamu gani ktk ujenzi wa madaraja?

cc Ogah
 
Last edited by a moderator:
Wabongo ni SHOW tu kama Mwakembe mwenzake. Watu wana vipaji kwelikweli ila ukishakuwa CCM, mhhhh!!!!

Ndiyo maana ninasema, Moise Katumbi akishika Nchi ya Congo kama Rais, tutakwenda kuomba kazi huko.....

Back
Top Bottom