Dr. Magufuli acha kuwaonea dagaa mchele, anza na hawa nyangumi

Kuna watu mna muda....mnawezaje kusoma pumba zote hizo za mtoa post!? I don't believe if it's worth reading all that bunch of nonsense.

Wewe huna AKILI yaani JMP kuambiwa amulike majizi makubwa ndio unasema pumba kwanini mnakabidhi akili zenu kwa watu wengine wafikiri kwa niaba yenu
 
Kwa nini umesahau au umejifanya kusahau kuhusu Richmonduli?

Rais Magufuli lazima amshughurikie pia huyu Mzee aliyoota nywele nyeupe wakati bado akiwa kijana na kwa sasa anajiandaa kwenda kuchunga ng'ombe kijijini Monduli baada ya wewe kumstaafisha kwa manufaa ya umma kupitia sanduku la kura.

Huyu Mzee mwenye nywele nyeupe ni kinara wa mtandao ulizaa wezi na mafisadi ndani ya CCM na Serikali.

Badala ya kwenda kuchunga ng'ombe inafaa aende gerezani kuwa nyampala wa wafungwa.

Ni hayo tu Rais wetu unayefanya maamuzi makini na siyo maamuzi magumu!

Richmond ni ya JAKAYA MRISHO KIKWETE....!!! Wee 🐗🐗🐶 huelewi
.? fc u...!!
 
Kuna watu mna muda....mnawezaje kusoma pumba zote hizo za mtoa post!? I don't believe if it's worth reading all that bunch of nonsense.

Not a bunch of nonsense brother, ndiyo President Pombe aliombea kura na akaahidi pale bungeni atashughulikia, hayo ndiyo baadhi ya majipu ya kutumbua.
 
hawezi kusubutu kufanya hivo mkuu..sababu haya anayofanya sahizi ni mbwembwe tu subiri baada ya mmwaka mambo yatakua yale yale hamna jipya
 
Kuna watu mna muda....mnawezaje kusoma pumba zote hizo za mtoa post!? I don't believe if it's worth reading all that bunch of nonsense.

Hammy-D; nimekuwa nikiunga mkono hoja zako mara nyingi lakini katika hili niko kinyume na wewe.

Unasema mleta post kaleta pumba? Mimi nasema hapana!
 
Kwa nini umesahau au umejifanya kusahau kuhusu Richmonduli?

Rais Magufuli lazima amshughurikie pia huyu Mzee aliyoota nywele nyeupe wakati bado akiwa kijana na kwa sasa anajiandaa kwenda kuchunga ng'ombe kijijini Monduli baada ya wewe kumstaafisha kwa manufaa ya umma kupitia sanduku la kura.

Huyu Mzee mwenye nywele nyeupe ni kinara wa mtandao ulizaa wezi na mafisadi ndani ya CCM na Serikali.

Badala ya kwenda kuchunga ng'ombe inafaa aende gerezani kuwa nyampala wa wafungwa.

Ni hayo tu Rais wetu unayefanya maamuzi makini na siyo maamuzi magumu!

ndio maana nimesema kwamba kama kuna nyangumi nimemsahau amulikwe ili mzee magufuli amuone na kumshughulikia. lazima mawe yote yapinduliwe ili nchi hii irejeshe heshima yake iliyopotezwa na wapiga deal.
 
Kuna watu mna muda....mnawezaje kusoma pumba zote hizo za mtoa post!? I don't believe if it's worth reading all that bunch of nonsense.

Ulijuaje kaandika nonsense kama hukusoma!! Acha unafiki pumbavu ww...., Huo muda wa kucoment umeutolea wap? Ndorobo mkubwa n simbilisi wakikee shenz Kabisa...
 
mie nimeogopa hata kusoma mwehu sijui huyu?

mknd wk! mwehu ni wewe unayetaka tuendelee kutafunwa na mafisadi kila kukicha. amka, acha ukilaza ndugu yangu. hii serikali ya Magufuli itawakaanga mafisadi wote...mjiandae kufungwa katika mahakama ya mafisadi itakayoanzishwa na magufuli hv punde.
 
Maelezo ni mengi ya kujaribu kumtetea Lowassa wakati andiko langu halikumtaja Lowassa!

Kwa kukusaidia zaidi, kama unadhani Rais Magufuli amechaguliwa kwa sababu ya hoja za wapinzani, kwa hoja hii huoni kuwa Lowassa alikuwa ni mzigo usiobebeka kwa sababu pamoja na kuuza Ilani ya CHADEMA ambayo unadai Rais Magufuli kwa sasa anaifanyia kazi, wananchi waliamua kutomchagua Lowassa na kumchagua Magufuli.

Kama Ilani ya CHADEMA ilikuwa ni nzuri, kwa nini aliyekuwa anainadi ambaye ni Lowassa hakuchaguliwa?

Lowassa kwa sasa hana nafasi tena katika siasa za Tanzania, He' suffering Mrema's political demise!

mkuu, tunataka ututajie nyangumi mwingine anayepaswa kuingia kwenye orodha hii ili ashughulikiwe. hiki ndicho kilio chetu kikuu. achana na siasa za majitaka.
 
Hapo sasa. Atapagusa?????
Kwani hajipendi? Mwacheni aendelee kuwabana watumishi wa umma wa ngazi za chini kama masekretari, walimu na manesi. Hawa ndio uwezo wake ulipoishia, huko kwingine nchi itatikisika.
 
Nilitegemea huyu mzee wa monduli atakuwa ndo wa kwanza kupelekwa mahakamani, maana wakati wa kampeni Mh. Magufuli na Kikwete walitamka wazi kuwa Ufisadi na wizi wa Lowassa hauhitaji ushahidi maana wiz wake ni wa wazi kabisa,, Nashangaa hadi leo hawajamshughulikia
 
Maelezo ni mengi ya kujaribu kumtetea Lowassa wakati andiko langu halikumtaja Lowassa!

Kwa kukusaidia zaidi, kama unadhani Rais Magufuli amechaguliwa kwa sababu ya hoja za wapinzani, kwa hoja hii huoni kuwa Lowassa alikuwa ni mzigo usiobebeka kwa sababu pamoja na kuuza Ilani ya CHADEMA ambayo unadai Rais Magufuli kwa sasa anaifanyia kazi, wananchi waliamua kutomchagua Lowassa na kumchagua Magufuli.

Kama Ilani ya CHADEMA ilikuwa ni nzuri, kwa nini aliyekuwa anainadi ambaye ni Lowassa hakuchaguliwa?

Lowassa kwa sasa hana nafasi tena katika siasa za Tanzania, He' suffering Mrema's political demise!

Acha kujitoa ufahamu Lowassa ndio chaguo la wengi,kwani hujui kilichofanyika? Magufuli anakazi kubwa ya kufanya ili akubalike kwa wananchi bahati zuri yeye analijua hilo.
 
Kuna watu mna muda....mnawezaje kusoma pumba zote hizo za mtoa post!? I don't believe if it's worth reading all that bunch of nonsense.

kumbe ndio maana wazungu wanaandika mikataba sie tunasaini tu..y

Ivi hakuna hata moja kwako iliona
 
wacha maguli apige kazi... hakuna aliye juu ya sheria awamu ya 5
 
Bwana Bwana, nilikuwa namheshimu huyo jamaa kumbe bure kabisa. Hii mada ni nzuri na jamaa anajua kujenga hoja nadhani ni mwandishi aliyebobea

sasa ndio anaonyesha rangi zake halisi. umeona eeh?
 
Hoja ya kupinga uuzaji wa unga si ya kubezwa labda uwe haujui madhara ya unga kutokana na umri wako..vijana wengi hawataki hata kujishughulisha wakiamini ipo siku atapeleka China,South Africa au Australia. Wafungwa wa unga ktk izo nchi ni wengi sana raia wa Tanzania kuriko hata Takwimu za serikali..
 
Jk, mkapa, chenge na wanasiasa wengine ni wezi wa "kinafasi" maana wakiwa na.vyeo huvitumia kuiba rasilimali za taifa kwa vyeo na dhamana zao za kitaifa. Mm sihungi mkono hoja hii ya hawa kua nyangumi kwani opportunistic thieves wanaweza kubanwa na umakini na.uwajibikaji wa serikali, na taasisi zake ikiwemo bunge, mahakama na vyombo vya usalama na kuamka kwa demokrasia ina.maana wananchi, media, asasi za jamii zitawamulika ule muda wa kuib. Kijinga jinga kwa viongozi hautakuepo tena. Na hata kuwaadhibu hao haitakua fundisho la maana kama washiriki wao na waaribifu waliowarubuni na wanaoshikilia mfumo wenyewe hawataguswa.

Shida ni wizi wa kimfumo unaochochewa na syndicates na cartels za matajiri mafia wanaojiita wafanyabiashara hapa nchini kwetu na.hawa.ndiyo manyangumi yenyewe ukiangalia kila skendo kubwa hukosi haya majina ya hawa wakuu wa hizo cartels ambao hukaa chini na kupanga kila tenda kubwa apate nani na kwa bei gani na kuzuia utaratibu wa kawaida, hawa ndiyo urubuni viongozi na watalaam serikalini kupiga zile dili maarufu za upotevi wa mabillioni kwa wananchi na taifa. Bila haya majizi, tungekua na tatizo dogo la ubadhirifu wa kidagaa kama unavyosema mleta mada na siyo wizi na ubaridhifu wa kinyangumi tulio nao sasa

Hapa wapo akina Rostam, jitu Patel, Tanil somaiya, subhash Patel, yusuf manji, na wenzao wengine hawa ndiyo walezi na wafadhili wa huu mfumo mbaya unaoharibu serikali, viongozi wake, taasisi zake, na uchumi wetu kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom