Dr Lwaitama amuomba Nape awe mfano wa Kukiwezesha CCM kuwa chama Pinzani Makini

Nape ni kijana hebu,angalia na sisi wengine!Jaribu kuweka CCM katika mazingira yakunijali mm kijana.
 
Mzee Lwaitama anatia aibu sana professor mzima simu ya elf 30....anadunda kwenye daladala mtindo mmoja....ulevi zwiiii... maisha mabovu changanyikeni...hivi hawa maprofessor wanalipwa shilingi ngapi?
 
Yeye anajiita mwana ccm mfu.......nape alikubali ushauri huo wa lwaitama wala hakutaka kuupinga naamini anaufanyia kazi kwa kuanza upya kauli mbiu ya kuvaa gamba badala ya kuvua maana kuvua haijawezekana
 
Back
Top Bottom