Dr Lwaitama amuomba Nape awe mfano wa Kukiwezesha CCM kuwa chama Pinzani Makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Lwaitama amuomba Nape awe mfano wa Kukiwezesha CCM kuwa chama Pinzani Makini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Oct 14, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr Lwaitama akichangia kwenye Kongamano la kumuenzi mwalimu juu ya Jukumu la vijana katika kumuenzi Mwalimu,Akimshukuru Jerry Slaa kwa kuweka hoja ya kiongozi kukubali ukomo wake na kumwachia Mwingine.

  Atafurah kama atamuona Nape Nnauye akiongoza CCM kuwa Chama pinzani Makini.

  Mods msiunganishe huu uzi ili tuijadiri hii kauli kwa undani zaidi.
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  imekaaa vizuri hiyo! hivi huyu mzee ajafukuzwa tu hapo udsm??
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ameongea kidogo sana lakini ameonyesha tofauti.
   
 4. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,474
  Trophy Points: 280
  Message sent.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwa nini afukuzwe
   
 6. M

  Maseto JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  kwa kweli Nape amekubali kwa thati kabisa wazo la Dk.Lwaitama kuwa CCM aisadie iwe chama cha upinzani cha mfano.hakumjibu Dokta,badala yake amesema dk ni mzee mwenye busara na huwa anamshauri mambo mengi.
  mimi nape nimefanya naye kazi Masasi.Ana akili sana na mchapa kazi.ni mwadilifu vile vile.kwa namna alivyozungumza leo na ukimya wake tangu kikao cha NEC amaanza kuwa na mawazo tofauti juu ya CCM.
   
 7. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nauye kakwepa kujibu dongo bt message sent and delvered!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hana akili na uadilifu wowote..
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kweli hata mimi nakubali Nape ana mawazo mazuri ni vile tu anayatumia pasipotakiwa kutumika!!! Ila anaelewa fika kuwa chama chake ni uozo na tunashukuru anasaidia sana kukifanya upinzani 2015.
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr Lwaitama aliuliza mwalimu alizaliwa kipindi cha miaka ya 20 hv akawa kijana miaka ya 20 mpaka 30 then akavuka,lakini alipata changamoto za kupambana na wakoloni.Je kijana wa kapindi hiki?
   
 11. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi anavyowachana chama cha majambazi nilidhani wangeshamsukia zengwe apigwe chini.... inaonyesha wanamgwaya ha ha ha
   
 12. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,216
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Nape yupo pale kimaslahi.
  Alipogundua kuwa ccm na rushwa+ufisadi havitengani kapiga zake kmya.
   
 13. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Yeye ni mwanachama mfu wa CCM.
   
 14. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Naamini ccm ikitumia vizuri rasilimali zake(watu ,viwanja,majumba na magari) ,inaweza kuwa chama makini cha upinzani mwaka 2015-2020.
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,788
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  la kuvunda halina ubani!!
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dr Lwaitama anasema ukweli.namkubali sana mwanazuoni huyu.
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ccm wana too much to lose hawawezi kukubali kupigwa chini.. Theres too much at stake
   
 18. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Namkubali sana dr. lwaitama,ila mimi namuweka sawa mtoa mada ni Jerry Silaa na sio jerry slaa.
   
 19. n

  nyantella JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Anahitajika zaidi mirembe kuliko UDSM!
   
 20. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm ikipigwa chini kwa uroho wao wa madaraka ndio itakuwa mwisho wao hapo.
  jina ccm litabaki tuu kwenye vitabu.
   
Loading...