Ninachojua mimi huyu bwana alistaafu UDSM akiwa Dr. Leo nimemuona kupitia Star TV akitambulishwa kama Professor. Kwa wenye taarifa anafanya kazi wapi siku hizi? Kama kweli kawa Professor nampongeza sana. Ukweli ni kwa Lwaitama na Baregu ni watu ambao hunikosha sana na uwezo wao wa kuchambua mambo na kujenga hoja. Kwangu, wamekombolewa na elimu.