Dr. Luis Shika, yu wapi?

Kwani babu wa Loliondo kikombe chake kiliishia wapi?
 
Wanajamvi, hivi zile hekaheka za Dr Luis Shika zimeishia wapi na yeye yuwapi? Au ndo yale mambo ya kuleta ili kutusaulisha matukio makubwa kama ya escrow na pesa za kwenye viroba???!
Watu tusiojulikana tulimchukua tumpime na kumchunguza tumeshamtoa toka muda sasa yuko mtaani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…