Mchambawima1 mimi nilikiwa nawapa tahadhali tu kwa nia safi, hivi sasa mnaweza kujiona mmeshikilia mpini, hakuna mtu anaweza kuwaeleza kitu, mna hunt down kila Muhutu mwenye elimu/Intellectual kwa kuwasingizia kwamba wao ndiyo walikuwa ni ma archtect wa genocide (hiyo ndiyo ni kauli yako unayo isema hapa), je, kuna ukweli gani katika hilo.
Inaonekana wazi wazi mmepania kuwamaliza Wahutu wote wasomi ili mbaki na mbumbumbu ambao awawezi kujitetea au kuuliza kitu na hilo ndilo lengo lenu kuu i.e a mirror image ya kutekeleza through a back door genocide ya kuwamaliza wahutu wote ambao mna waona ni ma intellectuals vile vile businessmen na wengine wenye ushawishi mkubwa nchini Rwanda na nje - mna emulate to the letter mbinu za STASI (Ujerumani Mashariki), Mukhabarati (Sadam Hussein) na Securitate (Ceausescu Romania), je, tawala zote hizo zilishia wapi licha ya kutawala Mataifa yao like semi Police states (kijeshi na kijasusi) - hiki ndicho kinacho endelea nchini mwenu, badala ya kusamehana na kumaliza tofauti zenu nyinyi mnakimbilia ku-hunt down binadamu wenzenu like wild animals, hata akili ya kukumbuka kwamba what goes around comes around - nawazo/akili hizo hamna kabisa mmejaa ujeuri na majivuno tu na kushindwa kuona mbali!!!
Mkishauliwa tu mnakuja juu na ujeuri wenu eti "mzee wa conspiracy theory" always having an inflated view ya umuhimu wenu hapa Duniani hamsikii la Sheikh wala muadhini!!! Baadae kibao kikiwagehuka mnakimbilia Mikoa ya Kagera na Uganda mnalilia lia "Ndafuyee ndaweleye" au mnafikiri Wahutu watabaki wajinga, wakubali kunyanyaswa na kujiona kama second class citizen kwenye Taifa lao miaka nenda rudi - msipo badirika attitude zenu za kujiona nyinyi ni zaidi, yatakayo fuata huko mbeleni yatakuwa mabaya zaidi ya 1994 - nawambieni.
Narudia kusema tatizo lenu kuu nyie Wanyarwanda i.e Wahutu na Watutsi wote mmejaa a burning hatred baina yenu lakini at least Wahutu ni rahisi kusamee sio nyinyi ambao ujeuri majivuno nao unachangia sana katika hulka zenu na hicho ndicho kitawamaliza msipo badirika.
Wanyarwanda wote kaine chini mu-address weakness zenu mkiwa level headed ya nini kugombea fito wakati lengo lenu ni kujenga nyumba moja, haya mawazo ya kishenzi ya kufikiri kabila moja limeumbwa kuwatawala makabila mengine - wazo hilo life kabisa, kumbukeni PK ni binadamu awezi kutawala milele au kuishi miaka 996 kama Methuselah kwenye simulizi za Biblia - term yake hii ndiyo ingekuwa muda muhafaka wa kukutana na mahasimu wake na kumaliza tofauti zao kistaarabu kuliko kupoteza muda mwingi kulipiza visasi, kuwabambikizia kesi wahutu na baadhi ya Watutsi ambao anawaona ni tishio kwa utawala wake - na sijui kwa nini Amerika na nchi za Ulaya zinakubaliana na madai ya PK bila ya kuwa na an independet ushahidi, I hope Trump awezi kubariki uonezi huu, hata kama wapo baadhi ya wahutu walio husika basi watahukumiwa huko huko uhamishoni baada ya kupata ushahidi usiyo na mawaa wafungwe bila ya kurudishwa Rwanda.
Nimalizie kwa kusema utawala wa PK waachane na mbinu za kuwabambikizia kesi za kutunga tu na ushahidi wa uongo, nayasema kutokana na miaka ya nyuma kumuona mama wa Kinyarwanda akilalamika kwamba Serikali ilikuwa inamlazimisha atoe ushahidi wa uongo kumsingizia one of Hutus' Intellectual kwamba anahusika na mauuaji!!! Mbinu hizo siyo fresh hata kidogo na msipo angalia itakuja kuwa gharimu dearly siku za usoni nawambieni.
Hivi nyinyi mambo haya ya uonezi mnayo wafanyia Wahutu na baadhi ya Watutsi mnafikiri mtu kama Marine Le Pen akishinda kiti cha Urais huko Ufaransa, alafu wanafamilia au Serikali ya Ufaransa wakahamua kufufua kesi ya kuuwawa marubani wawili wa Ufaransa wakiwemo wahudumu wa ndege, Rais Habyarimana na Ndadaye kesi hiyo hata Wafaransa wakilenga kuwabambikia kesi baadhi ya maafisa wa Serikali ya PK hata kama awahusiki moja kwa moja na hujuma hizol, unafikiri Ufaransa inashindwa kuwageuzia kibao, je, Ufaransa ikihamua kufanya kweli ofisi za Admin. ya PK zitakalika kweli? - Wakati mwingine nikiona jamaa anawakomalia Serikali ya Ufaransa namshangaa sana, hata ajui kwamba mambo ya Gabgo yanaweza kumkumba hata yeye Wafaransa wakihamua kufanya kweli - mimi nawakumbusha kwamba PK na wapambe wake wasijiamini kupita kiasi hasa hasa ukizingatia kwamba American Establishment iliyo kuwa inawakingia kifua baadhi ya tawala dhalimu Barani Africa na Mashariki ya kati, hivi sasa Establishment hiyo imekwisha pigwa chini na wapiga kura wa Merikani, hivyo wadhalimu wote Barani Africa na Mashariki ya kati hivi sasa wamekalia kuti kavu.