Dr. Kitila Mkumbo tunakutaka Iramba Magharibi!

- WanaIramba hawajamuomba anybody tumeona picha za wanaIramba na Mbunge wao majuzi tu, zipo very clear kwamba wapo naye, so hizi blah! balh! blah bakini nazo huko!! ha! ha! ha! vipi Mwigulu na Slaa si ni mtu na Kilembe chake au? ha! ha
!

le mutuz

Baba unajitusi mwenyewe kwa sababu wewe na Dr Slaa mmepishana miaka mitano tu.Kwa hiyo nyote mnaweza kuwa mababu wa Mwigulu.Lakini kwa heshima kubwa nitakuomba wewe nikuite tu Baba ingawa kwa uhakika wewe ni mkubwa kuliko baba yangu.

Sasa Baba hebu tizama mafanikio kati yako na Dr Slaa ambaye amekupita miaka mitano tu.

Dr Slaa amekuwa mbunge miaka 15.Dr Slaa amekuwa Katibu Mkuu wa Chadema kwa miaka karibia 10.Dr Slaa amekuwa Rais wa Mioyo ya wata tangia mwaka 2010.Kwa matikeo ya uchaguzi mkuu uliopita Dr Slaa ndiye kiongozi mkuu wa upinzani nchini.Dr Slaa ni Rais Mtarajiwa 2015.

Kuhusu mwanao Mwigulu Nchemba ni mbunge wa Iramba.Pia ni Naibu Katibu Mkuu CCM.Ni mjumbe wa Sekretariati CCM.Ni mjumbe Kamati Kuu CCM.

Sasa wewe baba kwa umri wako wa kuwa na wajukuu unajivunia mafanikio gani.Naomba unielimishe tu baba kama mtu anavyoelimisha mtoto wake.

C.c Mwita Maranya, SEBM, Shardcole, Crashwise, Mungi.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Mbona kama Chura tu, kelele nyingi hamna kitu.
 
Hivi nyinyi watu wa iramba huyu mwigulu ilikuwaje mkamchagua maana sielewa ..............hana hulika ya uongozi ila ni ubabe na matusi tu.Nadhani fanyeni upembuzi yakinifu na usanifu wa kina apigwe chini huyu jamaa muraaaaaaaaaaaaa.Hongereni kama mtamtumia huyu Dr,kitila kuleta maendeleo iramba,msipende vijisent vya wanasiasa muraaaaaaaaaaaaaaa mtabaki mnalia bila maendeleo tata.
 
Pesa zote za rushwa katika uchaguzi zitapotea kwa msaada wa Mungu wetu wa ajabu, Halafu watakoma.
 

Asante Mayu kwa ufafanuzi wako, Mwigulu matatizo ya Iramba na Singida kwa ujumla ni kutokuwa na viongozi wa kuwasemea katika ngazi husika. Iramba yote hii unayoiongoza naifahamu, na sehemu usizokubalika hata wewe unazijua. Unasema umefanya mkutano hadi saa 2 usiku, hizo ndo taratibu? Hapa jamvi sio mahali salama sana kwako kujibizana kwenye mada ambazo ni maoni ya watu tu.Ndo maana hata anayeitwa akagombee haji hapa kukubali au kukataa. Iramba ilikuwa na heshima kwa kuwa na wasomi wazuri sana hasa katika jimbo unaloliongoza wewe. Ila kupitia kauli zako za kibabe unapochanganya na Kinyiramba zinafika mahali tunawekwa katika kundi moja kuwa Wanyiramba ni Waropokaji hatupo makini katika hoja. Mimi swezi kutumiwa na mtu yeyote yule, ila jambo la msingi ni maendeleo ya wana-iramba au uweke msingi wa maendeleo kwa hawa watu hata kama ukitolewa siku moja waje wakukumbuke. Suala la kuwapa hela wapiga kura wako sio nzuri sana, maana unaweza kutoa hela leo, kesho yake huyu mtu uliyempa hela akahama ama akawa hayupo kwa namna yeyote ile haitasaidia kuwavutia wengine kukuunga mkono. Ushauri piga kazi kwa kubadili kabisa miundombinu iliyopo Iramba na buni mipango ambayo itawapunguzia umasikini wakazi wa jimbo lako. Watjitokeza watu watakutetea humu jamvini wa hekimu wala sio hawa ambao wakuja kutukana kwa Kinyiramba humu kama huyu Kingu.Kazi njema na mapumziko mema ya jumapili, ila IRAMBA NI YETU SOTE kama walivyowahi kusema ILYAMBA KYULU KUKILA ITANZANIA. Songela!
 

Mwigulu Hilo lakusema huna mpinzani na wala ujawahi kupingwa na kijiji wala familia inatia shaka kama unayoyasema ndivyo time it will tel.mods tunza huu Uzi Kuna muda utaitajika
 
Mkuu Molemo , Hebu na Tumuulize Mzee wa Matusi Mwigulu Nchemba Yafuatayo
1. Kwanini unaitwa Mwigulu , Jina la Kisukuma wakati wewe ni Mnyiramba??
2. Kunatetesi kuwa ali feli STD 7 na hivyo kufoji jina, Jina lako halisi ni Lameck ??? ======Kwa sie tuliokuwa tunakujua tokea Ilboru tulishalisikiaga hili Kama hayo ni kweli, Je wewe unatofauti gani na Kihiyo Philipe Mulugo a.k.a Amimu

cc politiki , Yericko Nyerere Mwita Maranya , Shardcole Bila kulisahau Kubwa jinga, a.k.a Zee la Kudandia Train kwa Mbele a.k.a Vuvuzela W. J. Malecela
 

Mwigulu bila michezo michafu we ni mweupe kama karatasi.ukumbuke kuwa 2010 ni tofauti na 2015.endelea kubweteka kwa kuwatukana Slaa na Mbowe ukifikiri vitakuongezea kura 2015
 

Ki ukweli kaka yangu una kazi huku home. Mimi nipo Halmashauri ya Wilaya hapa Kiomboi. Siku ile Kitila amekuja ameongea kidogo kama dakika kumi amekuwa gumzo hapa mjini. Kuna vijana wanapita kila kata wanakusanya sahihi ili wakamuombe Dk Kitila agombee ubunge. Hali yako ndani na nje ya CCM ni mbaya kuliko unavyodhani.

Labda nikwambia tu kuwa Kitila anafanyiwa kampeni na wana CCM wenzako. Viongozi kibao wamekugeuka sasa hivi. Hata kalenda za Kitila wanagawa wana CCM. Salama ya CCM Iramba Magharibi 215 ni wewe kutokupitishwa kugombea. Ukipitishwa tu Kitila hana haja ya kampeni kwa sababu hivi wana CCM kibao wataungana kukumaliza.

Kibaya zaidi ni kwamba wewe ukikaa kwenye majukwaa unamsema sana Kitila wakati yeye wala hajawahi kutangaza kama anagombea ubunge-unamjenga bila wewe kujijua. Endelea kugawa hela na kujisifia yetu macho.

NB: watumishi wa hapa halmashauri wanakusubiri kwa hamu 2015 tangu uwaambie kwamba watumishi wasio wanyiramba waondoke Kiomboi. Hawa nao watakumaliza na watambeba Kitila. Pole sana kakangu Mwigulu!
 

Maneno Mazito sana haya mkuu Imebidi
 
Last edited by a moderator:
ANAMFUATA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI. MLEKI WAZE NIZIKUA UUTYAPILA.

Kwa mtu mwenye akili sawasawa hata bila ya kuhudhuria shule anafahamu kwamba mamba anakuwa na uwezo wa kumsababishia madhara binadamu ama mnyama mwenzake kwenye maji ya kina kifupi na si kina kirefu.
Sasa ukizingatia kwamba iramba hakuna ziwa wala mto mkubwa kiasi cha kuhifadhi mamba umewezaje kujua kwamba mamba ni mubaya kwenye kina kirefu!!?? hahahaha lameck madelu wewe cha mtoto kwa Dr. Mkumbo
 

- Well, Mwigulu Chemba ndiye mbunge wa Iramba kwa sasa na picha zote anapokuwa huko zinaonyesha kwamba anakubalika sana na wananchi, sasa wewe waliokutuma labda wananchi wa jimbo lingine

- Hayo mengine baki nayo mwenyewe hayana tija kwa Taifa wala wananchi ni waste of time, maana sina umri wa Slaa anaweza kunizaa mara nne na akamzaa Mwigulu mara kumi, nashukuru kwamba unajua kwamba kwenye kuongoza Taifa umri kama wa Slaa ni tatizo, good!

le mutuz
 

- ha1 ha1 ha! hukuweka Le Big shoow! ha! ha! ha! I looove it!1

le mutuz
 

Baba Shikamoo,kwa nini baba unakatalia umri wako Baba? Baba kwa nini hutaki kuitwa mkubwa baba? Baba hujui uzee ni Dawa? Dr Slaa kukuzidi miaka mitano kiumri unajiona mtoto baba?

BTW, Baba nilikuuliza swali juu mbona hujanijibu? Hebu rudia swali nililokuuliza juu kwamba wewe umelifanyia nini Taifa na Uzee huu ulionao ukijilinganisha na Dr. Slaa na Mwigulu Nchemba? Nijibu swali hilo Baba yangu.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu umeingia CCM juzi tu,na njaa,ulimbukeni na uma.........ya vitakuumbua siku moja,msalaimie mh....ni mwenzio Viko Kamiti najua atakuwa anakumbuka mlifanya nini siku moja usiku kwenye uchaguzi kule Igunga.
Pole sana Migulu Nchimba!
M4C 4REVER!
 
Pale Iguguno leo saa 11.30 jioni Dr. Kitila Mkumbo wa UDSM na kamanda mwandamizi wa CHADEMA alikuwa Iguguno kuongea na wananchi nao kutoa kero zao.

Walimtaka Ngaa awasalimu kidogo kwa kuwa ni kamanda wao.Tutarajie makubwa jimboni kwa Mwigulu.
 
Naona familia imekamilika una baba Le Mutuz na Babu Dr Slaa hongera kwa kutanua familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…