Sometimes huwa sielewi watu wanfikiria nini
hivi unadhani urais ni sawa na mtendaji wa kata siyo?
Ninamfahamu sana tu
Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining
remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
Agombee kwanza ubunge kwao!tumpime
Hivi yule mgobea urais wa NCCR 2010 alikuwa mbunge wa wapi vile?Tumuandae ubunge kwanza 2015 halafu baadae ndo tumpeleke kwenye ngazi nyingine ya juu zaidi, ni kamanda makini sana na ni hazina kubwa kwa cdm
Lipumba ni mbunge wa jimbo gani?Hiyo point mkuu aingie bungeni kwanza tumpime
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Nne ni kichwa maji kama wewe!Endeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Sidhan Rais mzuri hawezi kutoka kaskazini au sehem yoyte ya nchi hii,au kutoka chama chcht cha siasa bt mtizamo,ufaham,uzoefu wa UONGOZI,dhamira ya dhati ya kuondoa umaskini miongoni mw wananchi na SERIKALI kwa ujumla pamoja na mambo mengine ndiyo YANATUPA KIASHIRIA CHA KIONGOZI BORA.
So tumchague mtu kutokana na uwezo na sifa alizo nazo si tu kwamba ametoka CHADEMA japo ni kweli CDM inajarib kuweka wagombea makini.
So kwa huyo KITILA hafahamiki siasa zake na mitazamo yake ni vema kama uongozi anauweza basi agombee nafasi nyngine za chini afahamike kwanza kwani kwa CDM ilipofikia ss ikiweka MGOMBEA ASYEFAMIKA VEMA KWA WNANCHI basi itakuwa imejishusha yenyewe kisiasa.BT most of ALL ONDOA UKANDA,UDINI nk kwny masuala ya UONGOZI na SIASA,kwa ulivyo WEWE HUFAI KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE ILE:A S 465:
Kama Mh Mbowe akiamua kutogombea tena, tunahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kutoa hoja na kujenga taswira ya chama. Kama Dr Mkumbo atakubali kuacha Udsm, ni moja ya brains nzuri sana zilizopo Chadema.
Ana sifa zote, kwanza ni jasiri, ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja, ni msomi, ana uwezo wa kufikiri, ana busara, anakubalika kwa vijana, ametoka mkoa ambao si wa kaskazini, hana tamaa ya madaraka nk.
Ni mawazo yangu tu, JF mnaonaje?
Rejao, najua unatAnia. Ila nakuomba tu kukuonya kwamba usidhani Sugu akisimama kwa CHADEMA basi ni mteremko. Sugu akichukua form ya Uraisi hata Dk Slaa haoni ndani. Hii ni kwasababu watu hupenda mtu anayeweza kuonekana mwenzao ili achaguliwe. Kama huamini rejea Rajoelina huko Madagascar, au fuatilia kwanini wanAmuziki huwekewa vikwazo wanapojaribu kuwania nafasi za kisiasa mfano Haiti na nchi moja ya Afrika MagharibiEndeleeni kugombana hivyo hivyo..mi nawashauri Mr. Sugu agombee.
Kwanza siyo wa kaskazini.
Pili anafahamika sana na majority ya watanzania.
Tatu,,,,ongezea wewe
Rejao, najua unatAnia. Ila nakuomba tu kukuonya kwamba usidhani Sugu akisimama kwa CHADEMA basi ni mteremko. Sugu akichukua form ya Uraisi hata Dk Slaa haoni ndani. Hii ni kwasababu watu hupenda mtu anayeweza kuonekana mwenzao ili achaguliwe. Kama huamini rejea Rajoelina huko Madagascar, au fuatilia kwanini wanAmuziki huwekewa vikwazo wanapojaribu kuwania nafasi za kisiasa mfano Haiti na nchi moja ya Afrika Magharibi