Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
kama unaamini kuna MUNGU,huwezi kutoa hukumu kwa mtu na kumwita shetani,,,ni shetani.....anae pambana na nguvu ya Mungu, na kamwe hato shinda Nguvu ya mungu
kama unaamini kuna MUNGU,huwezi kutoa hukumu kwa mtu na kumwita shetani,,,ni shetani.....anae pambana na nguvu ya Mungu, na kamwe hato shinda Nguvu ya mungu
Mwigulu hachafuki hata mkijikusanya na kutumia matope ya aina yoyote.
CHADEMA mlikuwa mmezoea vya kunyonga kwa sasa hali ya kisiasa ndani ya CCM imebadilika na kwa sasa tunawaletea vya kuchinja na kama mlivyo weupe kihoja, vimewashinda.
CHADEMA hawana hoja tena mezani kwa sababu ngoma ya hoja ya ufisadi mlio wake wananchi wameuchoka kuusikia ikichukuliwa kuwa ndani ya CHADEMA kuna ufisadi wa kila siku unaoharalishwa kupitia CHADEMA Central Commettee.
Baada ya kuwajibu hoja zao kwa sasa wanakuja na style ya political cherry picking. Huyu Dr. Kitila hata watu wa kijijini kwake hawakumpa kura halafu ndiyo anapata moral authority ya kuisemea Tanzania. He's making hullabaloo for nothing.
Dr. Kitila. Welcomme to ground zero.
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na msomi aliyebobea Dr Kitila Mkumbo amesema CCM sasa imezidi kufubaa na kupauka.
Dr Kitila amesema kwa mwaka huu tu CCM imepoteza kata 7 walizokuwa wanashikilia kwa Chadema.
Dr Kitila amesema lililo wazi ni kwamba chaguzi ndogo sasa hivi ndani ya CCM zinasimamiwa na kijana mdogo aliyejaa dharau,kiburi na ulevi wa madaraka anayeitwa Mwigulu Nchemba.
Dr Kitila ameendelea kusema kijana huyu kutokana na dharau zake wananchi sasa wamekuwa wakichukua taswira yake kama ndiyo taswira ya CCM.
Amesema lililo wazi katika kata zote zilizofanya uchaguzi awamu hii ambapo kijana huyu aliweka kambi CCM ilianguka vibaya.
Kata ambazo Mwigulu aliweka kambi ni Kata za Iseke Singida,Iyela Mbeya,Dongobesh Mbulu na Arusha mjini ambapo kote CCM iliangukia pua isipokuwa Arusha ambapo uchaguzi wake utakuwa tarehe 30 June.
Dr Kitila amehitimisha kwa kusema anakumbuka enzi za John Malecela maarufu kama Tingatinga alipokuwa anasimamia chaguzi za chama hicho kwa weledi mkubwa ambapo ilikuwa ni ndoto kwa kata iliyokuwa inashikiliwa na CCM kunyakuliwa na upinzani.
Source:Raia Mwema.
22nd March 2013
Posts : 1,005
Tunashinda na tunakesha hapa hapa,tunalipwa buku 7
Na kwa kuonyesha ya kwamba amechokwa bwana Mwigulu Nchemba yaani ni lazima jimbo lake liondoke na kuchukuliwa na msomi maarufu Mh Dr Kitila Mkumbo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mtu ana doma linamwaga matusi mazito! Kwenye facebook alikuwa anawadhalilisha dada zetu kisa wanaenda mwezi! Ni mwanasiasa mchafu wa maneno.. Hana hekima kwa kweli..
Bila kuweka unazi viongozi wengi wa ccm kwa sasa si viongozi.. Ni watu wa ajabu ajabu.. Sijui wameokotwa wapi..
mwigulu mwiba wa CHADEMA
Mimi hoja hii ningeweza kuikubali kama huo ushahidi wake alionao akidai hata mbinguini ataonyesha kama angekuwa na ujasiri wa kupeleka police ili wao wafanye uchunguzi kwa tuhuma zote cdm wanazotuhumiwa;kinyume cha hapo hana ubavu
Haya maneno tu na kwenye khanga yapo tatizo lenu la bavicha fikra lakini hoja tatizo.