- I have no comment kuhusu mawaswali aliyomuuliza huyo Rais mstaafu, ila nashangaa kusikia hakujibu WHY?
- I dont care kuhusu swali la Dr. Kitila even though kwa kuwa najua ni kichwa najua kwamba alilipima na yuko right kuliuliza, nina tatizo sana na swali kutkujibiwa ndio huwa ninaita nonsense! !
Mimi nna shaka kuwa hajauliza hili swali kama lilivyoanishwa hapa
Dk. Kitila Mkumbo tafadhali njoo utupe swali ulilouliza tulijadili.
Aliyeulizwa swali ameshindwa kujibu, haya unayotoa ni mawazo yako binafsi.kitila alipaswa kujua kwamba Mbeki alivyosema ukimwi ni ugonjwa wa maskini alisema kwa muktadha gani.kwa mfano; wakati mtu anakemea uzembe wa madereva, anaweza kusema "ajali barabarani husababihwa na uzembe wa madereva" sasa hapa haina maana kwamba ni kila ajali itakayotokea itakuwa ni usembe wa dereva lakini kulingana na mazingira ya kauli;kauli inakuwa ni sahihi.Sasa mbeki alipo sema vile. alitaka kuonyesha kwamba umaskini una mchango mkubwa katika kuenea kwa ukimwi;kitu ambacho kina ukweli.
Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM, Dr. Kitila Mkumbo jana alimpa wakati mgumu Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.
Hiyo ilikuwa ni katika wakati wa maswali kwa Mbeki baada ya hotuba yake katika ukumbi wa Nkrumah wa UDSM.
Swali la Dr. Kitila lilijikita katika kauli ya Mbeki, wakati akiwa madarakani, kuwa UKIMWI hauenezwi na ngono ila shida na umaskini wa wananchi. Dr. Kitila alimkumbusha Mbeki juu ya kifo cha mtoto wake (wa Mbeki) kilichosababishwa na UKIMWI. 'Unaendelea kusimamia kauli yako?' aliuliza Dr.Kitila
Mbeki aliacha kujibu hilo swali. 'I will not respond to that pinching question' alisema Mbeki. Na hapo ndipo ukawa mwisho wa maswali kwa Mbeki ingawa swali la Dr.Kitila lilikuwa la pili tu.Prof. Mukandala alimaliza muda wa maswali ghafla
Maswali yaliruhusiwa kwa yeyote aliyekuwa ukumbini, Dr kitila alikua na haki ya kuuliza.Inaonesha kuwa mtu anaejiita "doctor" Kitila Mkumbo, hajui alifanyalo na zaidi alitaka kujionesha mbele za watu.
Kwanza kabisa, kama yeye si mwanafunzi hapo alikuwa hapaswi kuulizia maswali, hiyo ilikuwa ni fursa ya wanafunzi kuuliza ili wapate kujifunza, yeye huyo angechukuwa fursa hiyo kuwatazama wanafunzi wanachouliza, wanavyojibiwa na baadae kwenda kuvijengea hoja akiwa na wanafunzi wake.
Ikiwa hao ndio wakufunzi wa Tanzania, si hasha tunatoa wanafunzi wa vyuo ambao hata spelling hawajui.
HUYU KITILA NKUMBO hana akili utaulizaje swali kama hilo ambalo linalenga familia ya unayemuuliza utafikiri ni mwandishi wa magazeti ya udaku aka tabloids. jukwaa lile lilikua la kuelimishana na maswali yangekua direct yanatoa ukweli bila ya kugusa mambo sensitive ya kifamilia.
Kasa...?Au muanzisha mada Kiingereza kimempiga chenga hapa anatulisha kasa?
Ninachokiona hapa wengi wameacha hoja ya msingi
na badala yake wanamuattack Dr. Kitila, nadhani kwa
chuki au vinginevyo. Ingalau wewe umesema jambo la
msingi sana...
- Dr. Kitila, ni mmoja wa viongozi ninayemuheshimu sana huko Chadema na ninajua kuwa ni kichwa na ndiye anayepaswakuwa MWenyekiti wa Chadema ila kwa vile huko kumejaa vilaza kuanzia wanachama na wapambe hawezi kupewa nafasi kubwa kama hiyo wataishia kupeana hao vilaza,
- I have no comment kuhusu mawaswali aliyomuuliza huyo Rais mstaafu, ila nashangaa kusikia hakujibu WHY? Sasa usipojibu ndio unatoa nafasi kwa watu kuamua wanayoyataka na kukusingizia uongo mwingi, hivi ni lini Viongozi wa Africa watajifunza kuwa wawazi? I mean ona Obama ameambiwa na MWananchi tu wa kwaida Donald Trump kuwa sio Raia wa USA, the the most powerful man in the world si angesema sio lazima ajibu, lakini imebidi mtumzima Obama aonyeshe mpaka vyeti vyake vya kuzaliwa kumjibu Trump!
- I dont care kuhusu swali la Dr. Kitila even though kwa kuwa najua ni kichwa najua kwamba alilipima na yuko right kuliuliza, nina tatizo sana na swali kutkujibiwa ndio huwa ninaita nonsense! Mbeki alitakiwa kujibu tena kwa ufasaha na kama anaamini alikosea aseme sio kukimbia swali!
- I HAVE SO MUCH RESPECT KWA DR. KITILA THAT NINAAMINI SWALI LAKE NI JUSTFIED ILA TATIZO NI VIONGOZI WA AFRICA KUJIFUNZA KWUA WAWAZI SASA NA KUACHA KUJIFICHA FICHA NYUMA YA VIVULI VYAO!
BRAVO DR. KITILA, NEXT TIME KAMA HAWAWEZI KUJIBU MASWALI YENU MSIWARUHUSU KUJA KUPOTEZA MUDA WENU HUKO KWENYE VYUO VIKUU VYETU, MAHALI PA WASOMI NI WEWE ULIYEKUBALI KWENDA SASA ULITEMEA NINI KWAMBA WASOMI WATAKUBEBA BEBA TU KAMA MTOTO MDOGO, SAAFI SANA KITILA!!
Le Mutuz!!
Ndo maana ya kuwa na Google.Mtoto wa Mbeki aliyekufa kwa ukimwi anaitwa nani.
Kasa...?
Ndo maana ya kuwa na Google.
Watu gani wa pwani hula kasa?cha pwani ...kama kulishwa kasa
Nimeshaanza kuwa na wasiwasi na uelewa wa hawa wasomi wetu ambao ndio tunaowategemea,ndugu umeeleza vizuri sana ,huyu Dr Kitila kaonyesha umbumbumbu wa hali ya juu,na nakubaliana na mdau kuwa kuingiza hilo kwenye mambo binafsi huo ni ufinyu wa akili,hasa kwa mtu msomi kama Kitila(?)nafikiri pia huyu Dr wakati alitaka tu kujionyesha kuwa anamjua Mbeki ndani nje na mwishowe kaharibu wakati ambao wengine wangetumia kuuliza maswali,unapomuuliza mtu kwa kurejea mambo yake binafsi ana haki ya kuhamaki ,na sawa hata yeye Kitila umuulize swali na kwa kufuata mambo yake binafsi tena yanayohisi kifo sijui kama angefurahi.Kwa mila mambo ya vifo yanayomhusu mlengwa hayaletwi kwenye mijadala,huo ni kukosa heshima na adabu