Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

Hicho ndio chama kinachojali haki za binadamu na kuwathamini wafuasi wake, ipo wapi hapo nguvu ya umma kama umma ndo huo unachinjiwa baharini
 
Hizo ndo siasa za babu slaa,uongo uongo
 
mbona hukuwah kuyasema haya siku zote kama kweli chadema ni chama chenu? kwanini leo....? msiba wa cdm ukiona wanaopiga mayowe zaidi ni wanaccm juwa kuna namna hapo....

Sio kwamba wote wanaomtetea Zitto wako CCM!! Sema tu mmesha karirishwa kwamba mtu akipinga mawazo ya Mbowe na Slaa nyie mnasema anatumika CCM. Sis wengine tunamtetea Zitto b'se hatuoni kosa kubwa la Zitto kupelekea yeye kufukuzwa! Hawa viongoz wetu wa juu CDM wanamgogoro wao tu binafsi; Ilikua ni suala kutatua migogoro ya kwa njia ya mazungumzo, sio kupakaziana uongo na kufukuzana uanachama! Hawa CCM nao kumtetea Zitto ni kutaka kuchochea tu mgogoro ndan ya CDM, japo WANACHADEMA hatulitambui hilo, leo hii wampende Zitto kwa lipi? Tope la ufisad aliloipaka CCM litafutika lini?!! Ndugu wana CDM let us think beyond...!
 
1. Hakuna institution itayoendelea kwa kuentertain mawazo yanayofanana tu. Hapa nakubaliana naye
2. Zitto akienda chama kingine will gain momentum and CHADEMA will fall. Anatoa mfano wa mrema miving to TLP from NCCR Mageuzi. Hapa naona kama anaota vile.
NB. He seems to struggle to regain psychological relief.
Kwenye Chai asubuhi hii hapa Utawala UDSM
 

Nimependa mtazamo wake lakini sikubaliani na ulivyomtafsiri, ni kweli Dr. Kitila aweza kuwa na mtizamo usiosahihi hususani kutokana na jambo husika. Dr. sio vyote vinaweza kujumuishwa (generalized), vingine tunavihaulisha au hamishwa (transfered).
 
Yuko sahihi, mawazo ya kufanana ni sawa na kumfungia buibui kwenye chupa
 

Anajifariji, ukweli anaujua.
 
Mimi nilijua tu kauli ya dkta Slaa haijakaa sawa, Kitila mara chungu nzima alishakana Zitto kuujua waraka, sasa Slaa anakuja na kauli tofauti kabisa. by the way SLAA si wa kumwamini
 

Duh...huyu Mzee sasa anazeeka vibaya.Kama ametudanganya kwenye dogo kama hili je ameshatudanganya kwenye mangapi?nashukuru kura yangu haikutosha kumpa urais mwaka 2010..Shame
 
Kwahiyo amesema neno hilo tu kisha akanyamaza kimya?
Msaky&Co mnalinajisi gazeti la Mwananchi. Mnazidi kujivua nguo hadharani.
Huyu mwenzenu karekodiwa akiyatamka aliyoyatamka mbele ya CC. Habari ndio hiyo.

kaka ngoja ni attend. lecture. Baadae
 
Why are discussing past events... Hao makapi hawana thamani tena katika medani ya siasa ... wametumiwa kuihujumu CDM bahati nzuri walikuwa wanafuatiliwa na sasa wametupwa nje...Ngoja tuone kama CCM watawachukua ama watawatosa kama tanpax baada ya kuwatumia...
 

Sasa watu wasioheshimu imani za kuabudu za wenzao wakiwa upinzani wataweza vipi kuziheshimu imani za kidini za wananchi wao pindi wakiingia madarakani?nazidi kumshukuru Mungu kwa kura yangu kutotosha kuwapa urais hawa watu mwaka 2010,hawajitambui.
 
Dk. Slaa aseme uongo ili iweje? Kitila ni sisimizi tu

Siku moja utajua kuwa kwa Dr Slaa uongo ni sehemu ya maisha yake ya kila siku.Zamani na mie nilikuwa kama wewe,siku moja utakuja kufahamu hili.
 
Mhadhiri wa Chuo kikuu na Mjumbe wa Kamati Kuu leo amekuwa sisimizi?
Gongo mbaya sana ndo nimeanza kuelewa.
Haya wewe Tembo unanafasi gani chadema na Tanzania?

Na sio mjumbe tu bali alikuwa ubongo(Strategist) wa Chama.Nafasi ambayo nadhani sasa itakuwa ya Lema, na ameianza rasmi kwa kuwatukana Wana Dar es Salaam juzi na vipigo vilivyoanza kwa Mwigamba na vinavyoendelea kwa viongozi wanaomuunga mkono Zitto..
 

Viroba vinawamaliza sana vijana wetu!Could you make some constructive arguments pls?

Andika hoja watu tujadili;acha vioja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…