Dr. Kigwangalla: Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure.

Hitler alikuwa kichaa hundred percent madhara aliyoleta alipoachwa bila kudhibitiwa dunia inajuta hadi Leo kichwa hatakiwi tu kupelekwa hospital za vichaa sababu aweza goma kwa kuwa ana followers wengi vichaa wenzie kama Hitler alivyokuwa huwezi ignore kichwa mwenye followers.Kuna vichaa hawatakiwi kufikishwa rumande wala mahakamani wala mirembe ni kumalizana naye juu kwa juu .heri mtu kichaa mmoja aangamie kuliko taifa liangamie.maisha ya kichaa mmoja hayana maana Kama taifa
 
Kuna muhimu hawa ndugu zetu kupimwa akili zao ina maana jpm kawa mungu wa Tanzania ss maana akosei wala afai kuelezwa akileteleza hakika kufiria kupitia tumbo ni hatari sna...
 
KAKOBE AWAJIBU T.R.A.

"Wokovu unaitwa ni utajiri usiopimika. Sasa usije ukayatafsiri kama upendavyo"
Waefeso. 3:5-8

"Tafuta mradi wowote wa Kakobe Tanzania nzima, na ukiupata, nitakupa zawadi hadharani."

"Kwa maana hiyo sasa,Tafuta kodi kwingine."

"Fedha yoote ya Tanzania, ya Marekani, China, huwezi kununua tiketi moja ya Mbinguni. Na ndio maana ukiwa umeokoka, unakuwa na utajiri usiopimika."

"Na ndio maana ninapiga kelele, kwamba mimi ni Tajiri kuliko serikali ya Magufuli."

"Fedha zoote ni mali ya Bwana na mimi ni mrithi wa mali hiyo" hagai 2:8

"Na ndio maana ukisikia kitu kinatoka madhabahuni, tulia kidogo kwanza, na fanya mahesabu kabla hujamkabili Kakobe..."

Ibada inaenelea...na bado mkesha...
 
Huyu daktari hana maadili ya kitabibu,,,,assume hata kama askofu ana moja ya hayo matatizo, kimaadili ya kazi yake hapaswi ku disclose patient information without hi consent.
chama cha madaktari tanzania , baba askofu kakobe mchukulieni hataua kali mara moja huyu daktari uchwara asiyeheshimu miiko ya kimaadili ya kitabibu.
nakupea like ya mwaka 2018 in advance
 
Hitler alikuwa kichaa hundred percent madhara aliyoleta alipoachwa bila kudhibitiwa dunia inajuta hadi Leo kichwa hatakiwi tu kupelekwa hospital za vichaa sababu aweza goma kwa kuwa ana followers wengi vichaa wenzie kama Hitler alivyokuwa huwezi ignore kichwa mwenye followers.Kuna vichaa hawatakiwi kufikishwa rumande wala mahakamani wala mirembe ni kumalizana naye juu kwa juu .heri mtu kichaa mmoja aangamie kuliko taifa liangamie.maisha ya kichaa mmoja hayana maana Kama taifa
Mungu akusaidie uvuke vema 2018 pia ukatubu
 
Katika muendelezo wa vita ya maneno kati ya serikali na Mchungaji Kakobe, Waziri wa Maliasili na Utaliik Dr. Kigwangalla ameibuka na kusema yafuatayo kupitia ukurasa wake wa twitter

"Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure. Kuna watu wanasema inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ ambao katika dalili zake ni ‘delusions of grandeur’ [kujisifia]. Akipelekwa mahakamani anaweza kutetewa kwa kigezo hiki na akashinda!"

Dr Kigwangalla is very complicated man. Amesha mix KA-Kobe na KOBE. Dr Hamis Kakobe ni mtu sio mali asili wee endelea kutafuna burungutu la wenye vitalu si ushalegeza kamba .

Dr Hamisi bwana huishiwi vi-kick in weekly basis
 
Katika muendelezo wa vita ya maneno kati ya serikali na Mchungaji Kakobe, Waziri wa Maliasili na Utaliik Dr. Kigwangalla ameibuka na kusema yafuatayo kupitia ukurasa wake wa twitter

"Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure. Kuna watu wanasema inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ ambao katika dalili zake ni ‘delusions of grandeur’ [kujisifia]. Akipelekwa mahakamani anaweza kutetewa kwa kigezo hiki na akashinda!"

Kama KUJISIFIA ni Ugonjwa basi Kigwangallah yeye ndo ameanza KUUGUA siku nyingi
 
sasa anafanyaje udaktari. Huwezi ku practice bila certificate from Medical council of tanganyika/nzania?????? na nadhani one of the conditions ni lazima uwe umepitia internship!

Sijui kama uko Tanzania hii,Dr.Kigwa, hajawahi kuwa kupractise kama dakatari.Isipokuwa anaruhusiwa kuitwa MEDICINE DOCTOR(MD) Kwa kuwa alimaliza vizuri medical school kwa miaka mitano,ndiyo maana anaruhusiwa kuanza prefix ya DR.KIGWA.
 
Kigwangala mwenyewe akiwa sekondari aliugua ugonjwa wa akili. Mpaka leo sidhani kama yupo 100% perfect mentally.
Siyo huyu tulieambiwa alimtishia Bashe bastola, au yeye aliona ni akili ya kawaida ile. Ama kweli kichaa humwona mwenzake ndo kichaa zaidi yake..
 
Katika muendelezo wa vita ya maneno kati ya serikali na Mchungaji Kakobe, Waziri wa Maliasili na Utaliik Dr. Kigwangalla ameibuka na kusema yafuatayo kupitia ukurasa wake wa twitter

"Kuhangaika na mtu kama KAKOBE ni kupoteza muda bure. Kuna watu wanasema inawezekana akawa na ugonjwa wa akili ‘Bipolar Disorder: Currently Mania’ ambao katika dalili zake ni ‘delusions of grandeur’ [kujisifia]. Akipelekwa mahakamani anaweza kutetewa kwa kigezo hiki na akashinda!"

Inawezekana kabisa Kigwangalla akawa na matatizo ya akili au naye alipokuwa anasoma aliwahi kufanywa kama Deo Kisandu, maana kila anayetofautiana naye hukimbilia kusema ana matatizo ya akili.
 
Kingwangara huyu Mrundi anapenda kiki kwa migongo ya wengine.. Hivi wale kina Kagasheki alimalizana nao vipi
Aliwaomba msamaha. Nadhani wizara aliyonayo haina kazi mpaka anakuja nae, kama katibu mkuu kiongozi au msemaji wa serikali. Hawa sio wabongo kabisa ila ndio wamepewa madaraka na Kikwete!!
 
Aliwaomba msamaha. Nadhani wizara aliyonayo haina kazi mpaka anakuja nae, kama katibu mkuu kiongozi au msemaji wa serikali. Hawa sio wabongo kabisa ila ndio wamepewa madaraka na Kikwete!!
vyeti sio vyake na jina sio lake wazazi wake walitoroka kambi ya wakimbizi miaka ya 70 wakajichanganya na wenyeji
 
IMG-20180101-WA0013.jpg
huyu kigangwala hovyo tu
 
Dr Kigwangala you are a Minister now get away from such politics. Usifikiri kwa kuwa wewe ni daktari (tabibu) waweza kutukana watu kwa taaluma. Yawezekana wewe ni mgonjwa kuliko huyo unayemtukana. The person gave his opinion why should you go around calling him names. Grow up young man!
 
hawa wachumia tumbo
tunahitaji tusikie kauli za viongozi wa juu kama mkapa, mwinyi na JK
 
Huyu ni mpuuzi mwingine ni wa kumdharau tu huyu. Hana jipya zaidi ya kulinda kitumbua chake.
Kwanza bishop ana muda wa kumjibu huyu mpuuzi yeye kagonga kwenye kichwa kabisa kama mkuu anaona amekosewa aje ajibu hoja ya bishop Zachary Kakobe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe ulifaulu lakin Sasa hivi unafundisha Kwa Lulenge Secondary School Yombo dovya Mwenzio alifeli lakin Leo ni Waziri wa Maliasili na Utalii!
Mwingine ana vyeti feki lakini mkuu wa mkoa ndio maana hakuna maendeleo nchi hii miaka 56 ya Uhuru tulitakiwa kuwa mbali sana sio hapo tulipo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom