Lufulandama
Senior Member
- Jun 6, 2017
- 187
- 175
Dr wa kienyeji huyu
Aliyoyaongea kigwa yaliongelewa na Nassari, Msigwa na Mdee je na wao ni wadaku?Nashangaa mtu kutojielewa kwa nafasi aliyenayo, Uwaziri ni nafasi muhimu na kubwa sana kwa level ya nchi hii taifa letu. Unapopatiwa nafasi hiyo unatskiwa kujipambanua kua wewe unique person tofauti na naibu wako au wabunge wengine wa kawaida.
Unapopewa nafasi ya kuzumzua kitu just go straight. Sifa,mipasho,dhihaka na mambo mengi vyote vya nini? Hii akili anayoitumia mtu kufanya haya ni wazi kabisa haimudu nafasi yake na hawezi kabisa kuongizwa na busara pamoja na utu kuliongoza taifa hili.
Unapoamka kama Waziri unaanza kupayuka habari ambazo zilikua zikiandikwa na magazeti ya udaku wewe itakua sio mzima, busara haipo kabisa zaidi ya sifa ambazo hazina manufaa yeyote kwa taifa pamoja na kwa nafasi yeyote.
Watu kama hawa hua hawawezi hata kutunza siri flani muhimu ambazo zineweza kufanyaniwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua, unaingia ofisini unakutana na nyaraka flani ndani ya ya meza yako bila kufuatlia na wewe unakimbilia nje kupayuka bila ushahidi wowote tena unakua ni uongo mkubwa.
Hivi mawaziri kama kina Lukuvi Mwijage,Mwigulu,Kalemani na Mpango unafikiri wanayajua mangapi ndani ya wizara zao? Unafikiri wao hawajui kuongea kama wewe? Wanajua nini maana ya majukumu na siasa. Uongozi siku zote ni busara na sio majungu au udaku au mipasho.
Mwanahamisi Kigwangala
UNACHEZA NA WATU WALIOFOJI VYETI NI DHAHIRI KUWA HAWANA UWEZO HAPO JUU WAPO KA KULAZIMISHA..................... NA HUWA WANATUMIA NGUVU BADALA YA AKILI CC YULE KIJANA WA BABA MUDA WOTE ANAFANYA MAONYESHO ILI AONEKANE HAHAHA
hayaNi tatizo kubwa sana kuwa jamii yetu inachukulia elimu na kuelemika ni kuwa na vyeti vya kitaaluma hata kama ni vya kufoji.
Huwezi kuzungumzia elimu na kuelimika bila kuhusisha kitu kinachoitwa kwa Kiingereza "cognition". Cognition ni mchakato wa kiakili wa kufahamu unaohusisha masuala kama utambuzi (awareness), hisia (perception), tafakuri (reasoning) na maamuzi (judgement).
Kwa mantiki hii, kufanya maamuzi kwa kukurupuka ndicho kipimo halisi cha ukilaza na umbumbumbu.
Nashangaa mtu kutojielewa kwa nafasi aliyenayo, Uwaziri ni nafasi muhimu na kubwa sana kwa level ya nchi hii taifa letu. Unapopatiwa nafasi hiyo unatskiwa kujipambanua kua wewe unique person tofauti na naibu wako au wabunge wengine wa kawaida.
Unapopewa nafasi ya kuzumzua kitu just go straight. Sifa,mipasho,dhihaka na mambo mengi vyote vya nini? Hii akili anayoitumia mtu kufanya haya ni wazi kabisa haimudu nafasi yake na hawezi kabisa kuongizwa na busara pamoja na utu kuliongoza taifa hili.
Unapoamka kama Waziri unaanza kupayuka habari ambazo zilikua zikiandikwa na magazeti ya udaku wewe itakua sio mzima, busara haipo kabisa zaidi ya sifa ambazo hazina manufaa yeyote kwa taifa pamoja na kwa nafasi yeyote.
Watu kama hawa hua hawawezi hata kutunza siri flani muhimu ambazo zineweza kufanyaniwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua, unaingia ofisini unakutana na nyaraka flani ndani ya ya meza yako bila kufuatlia na wewe unakimbilia nje kupayuka bila ushahidi wowote tena unakua ni uongo mkubwa.
Hivi mawaziri kama kina Lukuvi Mwijage,Mwigulu,Kalemani na Mpango unafikiri wanayajua mangapi ndani ya wizara zao? Unafikiri wao hawajui kuongea kama wewe? Wanajua nini maana ya majukumu na siasa. Uongozi siku zote ni busara na sio majungu au udaku au mipasho.
Nyalandu kaikosesha Tanzania shilingi bilioni 36 kwa kukalia GN kwa miaka miwili. Hiyo si mipasho, China angenyongwa.Nashangaa mtu kutojielewa kwa nafasi aliyenayo, Uwaziri ni nafasi muhimu na kubwa sana kwa level ya nchi hii taifa letu. Unapopatiwa nafasi hiyo unatskiwa kujipambanua kua wewe unique person tofauti na naibu wako au wabunge wengine wa kawaida.
Unapopewa nafasi ya kuzumzua kitu just go straight. Sifa,mipasho,dhihaka na mambo mengi vyote vya nini? Hii akili anayoitumia mtu kufanya haya ni wazi kabisa haimudu nafasi yake na hawezi kabisa kuongizwa na busara pamoja na utu kuliongoza taifa hili.
Unapoamka kama Waziri unaanza kupayuka habari ambazo zilikua zikiandikwa na magazeti ya udaku wewe itakua sio mzima, busara haipo kabisa zaidi ya sifa ambazo hazina manufaa yeyote kwa taifa pamoja na kwa nafasi yeyote.
Watu kama hawa hua hawawezi hata kutunza siri flani muhimu ambazo zineweza kufanyaniwa uchunguzi na kuchukuliwa hatua, unaingia ofisini unakutana na nyaraka flani ndani ya ya meza yako bila kufuatlia na wewe unakimbilia nje kupayuka bila ushahidi wowote tena unakua ni uongo mkubwa.
Hivi mawaziri kama kina Lukuvi Mwijage,Mwigulu,Kalemani na Mpango unafikiri wanayajua mangapi ndani ya wizara zao? Unafikiri wao hawajui kuongea kama wewe? Wanajua nini maana ya majukumu na siasa. Uongozi siku zote ni busara na sio majungu au udaku au mipasho.
Kigwa Mzee wa kuwafungia wafanyakazi wa wizara getiKuna mawaziri wapumbavu....by JPM voice note mkoani Tanga.