sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,100
- 8,729
WANA JAMVI, hamjambo?
mwenzenu yalinikuta na yakaisha na sasa yamemkuta jirani yangu ila yamemuishia vibaya analia kilio cha mbwa akiwalaani watumishi wa hosipitali ya mwananyamara.
ilikuwa nwezi ulio pita nilimpereka mwanangu wa pale hospitali, kwa kweli nilifika nilifika pale, saa nne ila mpaka napata kitanda cha kumlaza mwanangu aliyekuwa na homa kali, ilifika saa nane kamili,
baada ya hapo niliperekwa wodini na bahati nzuri kitanda kimoja walirazwa watoto watatu kwa mpigo. bahati nzuri tena MTOTO aliyelala na mwanangu kitanda kimoja alikufa usiku uleule.
chanzo cha kifo chake, kilikuw ni baada ya kuchemka sana, usku wa saa tisa, mama mzazi wa yule mtoto alienda kumuita DR, bahati nzuri yule Dr alikuwa amelala, kama binadamu wengine alimuitikia yule mama na kumtaka achukue kitambaa akiroweshe na maji na amwekee kichwani atapoa, dule mama alifata maelekekzo ya DR, ila ilivyo fika saa tisa YULE MTOTO ALIKUFA.
Mama mzazi wa marehemu sasa, alilia uku akisema DR umemuua mwanangu, Dr aliposikia kilio alikimbilia nje na kuwasha gari na kuondoka.
Nilipo kuja hasubuhi, nilivyofika hospitali nikaambiwa yule mama sasa, mama marehem, amezimia, na ndani ya masaaa, manne nilishudia watoto wanne wakifa mamazao wakiishia kudondoka na kuzimia pale Hospitali uku viajana walio jiita madakitari walio valia makanzu meupe, wakiwatizama.
Baaada ya kushudia upuuzi wa madakitari, nilimuandikia Dr Kigwangala ujumbe mfupi kuwa mwananyamara, imeoza haifai kabsa nikmwomba afike pale, na kutumbua majipu.
nilimuelekeza kuwa, pale mwananyamala, mkurugenzi wake ni ovyo kabsa haiwezekani hospitali km mwanannyamra haina mashuka ya kutosha, pesa zinalipwa pale znazoingia kwa siku zinatosha kuknunulia mshuka waodi ya watoto, haukna mashuka,
pili, vyoo vya wodi ya watoto, vyote vimejaaa, wamama wanao lala na wtt wao pale hawana pa kujifungulia.
Nikamwambia pia kuw, KUNA duka mule ndani la MSD, yan wanakuuzia dawa ukiomba risit wanakupa mara ya kwanza ukienda kununua tena ukiomba risit, unaambiwa dawa zimeisha kumbe wao wanauZa dawa pesa wanachukkua wao, na pili ilisemekana kuwa wakati wa uongoz wa Kikeke haa, Kikwete, maduka yale wanaoitwa madakaitri walikuwa wanauza dawa zao, yani ilifika pahala wale jamaa wkawa wanauza dawa zao.
Tatu, pale wodi ya watoto, kuna wakina mama wanao pokea wagonjwa na kuwapereka wodini hawana kaul nzuri kwa wakina mama wenzao,
wanafanya kazi kwa mazoea, mfano mimi nilifika saa nne, mpaka nafika saa nane ndo tulipewa kitanda, na mda wote tuliambiwa tusubiriane tuwe wengi ndo atupereke, maana yeye kazi ya kumpereka mmoja mmoja imekwisha mchosha,(kimoyo moyo nikatamani nimwwmbie, siuache).
na kweli tulikaa pale mpaka tulifika kumi ndo tukaperekwa kama mafungu ya nyanya.
Nne kIngwangala, nilimwambia, kuwa kama akiweza abadilishe mkuu wa hospital, avunje bodi, na kumuondoa katibu mkuu pale, maana uongozi umewshinda huwezi amini eti mtu anae fanya kazi ya kukusanya mapato ya serkali pale mwananyamara kwa maana yule mtu ambae tunalpa pesa kwa ajiri ya kumuona DR, AU kulipia kazi, hana AJIRA MWAKA WA NNE.hivi kweli kuna uongozi hapo? mtu muhimu km huyu jampa ajira unadhani atakuwa nauzarendo juu ya nini?
Leo ninapoa uzi huu, nipo msiabani hapa, jiran yangu analia kilio cha mbwa, mwanae amekufa mwananyamala kisa uduma mbovu, ingawa nimeskia wizara imeanza kufanyia kazi baadhi ya mambo, ila kitendo cha mtumishi wa Temeke, kumreta Mwananyamara, hakuna mlicho kifanya, mnatakiwa watu hawa wasimamishwe kbsa.
Huyo wa temeke,hawezi badil chochote hapo, maaana wao ndo walikuwa wnaongoza kwa kuua watu baada ya kuwatibu.
nakusiii kikgwangala na mwenzako,, mimi napendelea sana nikutem wewe, maana ni mwanangu w akiume, mwanangu wa kike, huwa namwonea uruma. kingwangala fanya kazi.