Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,212
- 128,964
Wanabody,
Mbunge wa Nzega, Dr. Hamisi Andrea Kigwangala, ambaye jana alitiwa nguvuni na polisi wa Nzega, kwa kuendesha maandamano bila kibali, aliachiwa jana usiku wa manane, na saa hizi, ametinga bungeni Dodoma na yuko live on Clouds Radio,
Amesema hakukuwa na maandamano yoyote, wala hapakuwa na fujo yoyote, bali baada ya kufanya mkutano wa hadhara kuwasikiliza wananchi wake wakilalamikia kutimuliwa eneo la wachimbaji wadogo wadogo, walishtukia polisi wakija na kuanza kuwavurumishia mabomu ya machozi.
Amesema hilo eneo ni la wananchi kihalali, mgodi ni wageni tuu waliokaribishwa na hawana uwezo wa kuichimba dhahabu yote wao wenyewe, hivyo anasimama na wananchi wa Geita katika kudai haki yao ya kuvuna rasilimali yao kihalali!.
Amesema anashangazwa na polisi kuwanyanya wananchi wenye mali for the expense ya wageni, wanaovuna dhahabu yao na kuwapatia malipo kiduchu!.
Listen Live!.
Paskali