"DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

Waziri wa Fedha wa Tanzania ana degree feki

kila mtu analijua hilo

mbona hamkusema kitu?

I think hizi ni double standards za JF kila kukicha
Kwahiyo unapangia watu waseme nini? Ww mboja juzi ulikuja in defence of membe then ukaja na the same surprise kwa marmo

hii thread ni ya jamaa aliyefoji elomu, ukiibua ya mkulo utakuta pia ilichangiwa.

Phd ya kikopo imekua issue
 
Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!

Jamani kama PhD ndio fake lakini Masters ni halali, sasa mnamzonga kwa nini? Mabalozi wote wana PhD, acheni wivu
 
Jamani kama PhD ndio fake lakini Masters ni halali, sasa mnamzonga kwa nini? Mabalozi wote wana PhD, acheni wivu
Kwa hiyo mtu mwene masters anaruhusiwa kujiita dokta, sio ndio? na nani kasema kuwa balozi inabidi uwe na PhD..tumia akili japo kidogo basi.eeh?
 
Jamani kama PhD ndio fake lakini Masters ni halali, sasa mnamzonga kwa nini? Mabalozi wote wana PhD, acheni wivu
issue sio level ya elimu, issue ni forgery.... Unajua ujinga mwingine bora tuwe tunabaki nao humuhum tanzania, sasa tunapoanza kuwarusha nje mafisali elimu then somehow inakua si yenyewe
 
Jamani hapa issue ni creadibility tuache light touch defence. Kama Dr. Kamala ameweza kuchakachua PhD
then this guy is unrealible, hawezi kuwa trusted kupewa public office kwa nchi za wenzetu zinazofuata maadili
ya uongozi. Huu utetezi wote unatoka wapi? hata kama tunampenda Dr. Kamala.

Kama waziri wa Germany aliweza kujiuzuru uwaziri simply for plagiarism kwenye PhD thesis yake, Iweje sisi
Watanzania leo tumteteee mtu ambaye ana PhD feki? Ni somo gani tunatoa kwanza kwa matafa mengine,
pili kwa watoto wetu? Kwamba elimu Tanzania sio muhimu you can be anaybody with online certficates.

Hii inanikumbusha kampeni za Maji Marefu na Lameck Kairo walipokuwa kila wakisimama jukwaani wanasema
darasa la saba oyeee! na kweli watanzania wakawapatia kura!

If you think education is expensive, then try ignorance and that is the same thing we are doing kwa kutetea
PhD fake ya Kamala!
 
Watu wengi hatupendi kujishughulisha. Hebu google "List of Unaccredited Institutions of higher learning" uone kama hicho chuo cha Mh Daktari Kamala kimo. JAMANI HICHO CHUO HAKINA ITHBATI. Basi hata awards zake hazitambuliki. Najua bado kuna watu wataendelea kubisha.
 
Watu kwa kujifanya wanajua kuchambua issues!

Kwa taarifa jamaa amekuwa akipiga PhD ya ukweli na muda si mrefu mtamwona aki-graduate kama Nchimbi. Mtaishia kupiga porojo zenu kufurahisha nafsi zenu na siku zinakwenda.
 
Kwa mawazo kama haya no wonder Tanzania ni nchi ya tatu duniani kwa ombaomba after Iraq na Afghanistan. Issue hapa ni integrity repeat again INTEGRITY! Hatukatai hata kama uwezo wa kupata PhD anao lakini kitendo cha kuwa na PhD feki
tayari kina downgrade integrity yake, hivyo hafai kuwa trusted kupewa public office.

Hii na sawa na kusema kwamba kwa kuwa Rostam Aziz ni tajiri (according to TZ standard) basi anayo ruhusa ya kutuibia Watanzania ili kuendelea to amass his wealth, that is an obtuse hypothesis! If we are greater thinker tujaribu kuwa tuna argue objectively. Ukiwaambie hivyo Wabelgiji kwamba pamoja na Kamala kuwa PhD ya online, lakini sasa anasomea PhD ya ukweli watatuona kweli sisi watanzania ndio ma-bozi boziana.

Jana nimesikia kwamba wanafunzi > 9,000 wa STD IV wamefutiwa matokea kwasababu ya udanganyifu! Haya ni matokea ya jamii kuendelea kushadadia uchakachuaji wa elimu, badala ya kuwaadhibu ili liwe fundisho kwa wengine.
 
hamna kitu pale,wahaya wengi wamesoma vizuri lakini sio huyu
"ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia maji"
Kwakweli namfahamu Kamala kwa muda mrefu ni mtu mwenye uelewa mpana sana ,ana uwezo mkubwa sana wa kufiikiri na kujenga hoja.Atatusaidia sana.
Cha msingi sisi wengine tuliobaki tujifunze kwa haya yanayotokea ,tusipende sana "shortcuts" kwa sababu they are always" wrong cuts"
Kwa hili nafikiri aliishatambua kosa lake nafikiri aliisha anza kuisafisha.
Nasikitika kwa sababu pengine jitihada zake za kuingia kwenye siasa ndizo zilimpelekea kutafuta hiyo PHD, na ni swahiba wa Nchimbi, pengine anaweza kuwa alimshauri hilo.
Lakini binafsi nafikiri atatusaidia.
 
Watu kwa kujifanya wanajua kuchambua issues!

Kwa taarifa jamaa amekuwa akipiga PhD ya ukweli na muda si mrefu mtamwona aki-graduate kama Nchimbi. Mtaishia kupiga porojo zenu kufurahisha nafsi zenu na siku zinakwenda.

haitamwondolea sifa ya kwamba amechakachua PhD ya kwanza na kudanganya umma.......... ukishaiba umeiba tu, hata ukiacha tunasema jamaa alikua mwizi balaa, sema kaacha
 
"ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia maji"
Kwakweli namfahamu Kamala kwa muda mrefu ni mtu mwenye uelewa mpana sana ,ana uwezo mkubwa sana wa kufiikiri na kujenga hoja.Atatusaidia sana.
Cha msingi sisi wengine tuliobaki tujifunze kwa haya yanayotokea ,tusipende sana "shortcuts" kwa sababu they are always" wrong cuts"
Kwa hili nafikiri aliishatambua kosa lake nafikiri aliisha anza kuisafisha.
Nasikitika kwa sababu pengine jitihada zake za kuingia kwenye siasa ndizo zilimpelekea kutafuta hiyo PHD, na ni swahiba wa Nchimbi, pengine anaweza kuwa alimshauri hilo.
Lakini binafsi nafikiri atatusaidia.

Thank you......... at least one has come up na kukubali kwamba he went astray at some point
 
Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!

PHD yake iliyo feki ni ipi kati ya hizi(1.PHD ya darasani au mnaita VYETI na 2. PHD ya kichwani au mnaita ujuzi?)
 
Huyu ana uafadhali kidogo. Angalau basi ana Masters hata kama PhD ni feki. Atasoma aliwa uko Ubelgiji.
 
Jamii legelege huongozwa na watu legelege! Kikwete alichaguliwa kutoka miongoni mwetu, kama alionekana bora kuliko watanzania 40mil basi anachokifanya ni bora na kama anaonekana legelege na bado anaendelea kuwa rais wa watu zaidi ya 40mil wa kulaumu si yeye kwa maamuzi yake-Wewe na mimi tujilaumu; tumemuona ni bora kuliko the rest of Tanzania ndo maana anaendelea kuwa mwakilishi wetu kama rais na ulegelege wetu kama taifa tutazidi kulalama tu!
 
Baadhi wanasiasa wa Tanzania wamefanya titles za "Dr." zishuke thamani kabisa!
 
PHD yake iliyo feki ni ipi kati ya hizi(1.PHD ya darasani au mnaita VYETI na 2. PHD ya kichwani au mnaita ujuzi?)
Yani unaongea kana kwamba hivo 'vyeti' si chochote...sasa kaa ni rahisi hivo mbona hana? hakuna PhD ya kichwani wala kisogoni babu..msitake kushusha standards ili kumuaccomodate jamaa yenu. Facts are facts.
 
Watu kwa kujifanya wanajua kuchambua issues!

Kwa taarifa jamaa amekuwa akipiga PhD ya ukweli na muda si mrefu mtamwona aki-graduate kama Nchimbi. Mtaishia kupiga porojo zenu kufurahisha nafsi zenu na siku zinakwenda.
Asante kwa kutambua kuwa kuna PhD ya ukweli..taratibu tu somo litaeleweka.
 
Back
Top Bottom