rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,194
- 25,963
Kwa ccm ni win win situation, but for CDM ni russian roulette. Let us cross our finger and see the CDM next moveMimi naomba ccm ishindwe angalau migogoro inayopandikizwa ya waislam kupitia bakwata ipungue. Maana ccm kila kukucha wanabuni mbinu za waislam kukosana ili ccm iendelee kutetea pesa wanazotoa kwa madhehebu ya wakiristo (mou)
Vipi kuna jipya manake hapa naona porojo tu.
Naambiwa jaji ameanza kusoma judgement yake.
Sote tunazaliwa ni WATANZANIA. Hakuna anayezaliwa ni MUISLAAM au MKRISTO. Hizi DINI za kuletewa zinawahangaisha hivo kwa nini?nadhani leo fumu akifumiliwa ukombozi waislam watafurahi. maana ccm inalitumia bakwata kujenga chuki kati ya waislam kwa waislam
jaji ameanza kusoma mda huu..na mambo mawili ya daraja na ahadi ya mahindi yameonekana ni hatia kwa Kafumu...kuna jamaa yuko mahakamani amenihabarisha
Are u sure tuanze kufurahi?jaji ameanza kusoma mda mtu..na mambo mawili ya daraja na ahadi ya mahindi yameonekana ni hatia kwa kwafumu...kuna jamaa yuko mahakamani amenihabarisha
Sote tunazaliwa ni WATANZANIA. Hakuna anayezaliwa ni MUISLAAM au MKRISTO. Hizi DINI za kuletewa zinawahangaisha hivo kwa nini?
hivi tukishinda kafumu atavua kile kiapo na kumpa kashindye au kashindye ataapa tena? Na je, mahakama itamtangaza kashindye kuwa mshindi?Gamba livuwe ili tanzania impate mtu inayomhitaji.
Hukumu ina kurasa 127 hivi.Hadi sasa asilimia 80 ya sababu za CHADEMA zimekubaliwa.Lakini Jaji aweza kugeuka mwishoni.Ngoma inogile...