Dr. Kaborou aiacha CHADEMA, Ajiunga CCM

Huyu Kaborou jamani kachungulia ubunge wa Africa Mashariki.
Kwenye mada nyingine lilijadiliwa suala kuhusu hawa viongozi kuhama,maana ukiangalia trend ya viongozi wa upinzani kurudi au kuhamia CCM ya wakati huu wa Kikwete inasikitisha.Huko nyuma tulikuwa tunasikia majina ya viongozi ambao hata hatujawahi kuwasikia,lakini sasa unasikia Tambwe,Kaborou etc Hii ni dalilli tosha kuwa upinzani sasa ndio basi.Hata kama Freeman anajaza vijana wasomi kwenye chama chake,ambao wengi wao kawapa ubunge,lakini hata hawa mwisho wao ni huohuo.Sasa hawa wabunge waliopewa viti maalum ,ule muda ukiisha,na majimboni huko ni kama tunavyojua,baada ya uchaguzi wa kwanza 1995,wapinzani idadi yao bungeni imezidi kupungua na itaendelea kupungua,which means viti maalum idadi yake itapungua pia,wengi wa hawa utasikia wamejiunga na CCM.
Loathe it or love it,lakini CCM will rule for a very long time to come.Wakati muafaka wa kuishinda CCM,ulikuwa ni 1995.Kwa sababu here was the 1st time voters of this country had an alternative.Lakini upinzani ulishindwa kuitumia nafasi hio vizuri.Uchaguzi uliopita watu walikuwa na imani kuwa Freeman angezoa kura nyingi sana,asingeweza kuishinda CCM,lakini angalau angemshinda Lipumba,that never happened,so whats next?
Ni kama alivyosema Mwalimu,ni mpaka CCM igawanyike,na uwezekano huo ulijitokeza kidogo katika kutafuta mgombea wa rais mwaka jana,lakini wenyewe wakayarekebisha na wakaweka mambo sawa.
Baada ya mda utaona watu wanajijengea umaarufu upinzani ili wajiunge na CCM baadae,maana sasa hio ndio itakuwa shortcut to ubunge,u-DC,RC n.k Tanzania imebarikiwa jamani,wacheni mchezo!

Uliona mbali sana ndugu.
 
Ni kweli binadamu tunasahau lakini nadhani Watanzania tuna zaidi ya kusahau. Tungekuwa tunakumbuka japo robo ya yaliyowahi kusemwa na kufanywa na wanasiasa wetu tusingekuwa hapa tulipo leo.
 
Huwa nasema kila Mara, JF kiboko! Kwa wakati huo simu za bure za Samsung zilikuwa bado hazipo. Katoka Makamba senior, kaingia junior na msururu wa misukule na smart phone zao za hongo, duh...historia kweli hujirudia! Long live JF!
 
Huwa nasema kila Mara, JF kiboko! Kwa wakati huo simu za bure za Samsung zilikuwa bado hazipo. Katoka Makamba senior, kaingia junior na msururu wa misukule na smart phone zao za hongo, duh...historia kweli hujirudia! Long live JF!
Siumeona mkuu?it was only two pages on the original post if I'm not mistaken.JF ilivamiwa lakini chadema bado iko imara tu,kwasababu haya yote yalijulikana yatatokea.
 
Back then, na nakumbuka kauli ya Dr. Aman Kabourou katika viwanja vya Mwanga Centre kuwa, 'Zitto naye atanifuata, mwache ale pesa kwanza'

Duu?? ila kazivuta si mchezo, kama ule waraka unasema kweli yaani 250 milion plus 266 usd yaani chap chap jamaa kalamba about 700 milioni ukiongezea na za ubunge na trip kibao yaani kama bilioni na ushee.. ama kweli waweza kuwa msaliti bila kupenda! Mapene yanatembea kama njugu..
 
Huwa nasema kila Mara, JF kiboko! Kwa wakati huo simu za bure za Samsung zilikuwa bado hazipo. Katoka Makamba senior, kaingia junior na msururu wa misukule na smart phone zao za hongo, duh...historia kweli hujirudia! Long live JF!
Acha roho mbaya wewe!
 
Tibwilitibilwi, umetibilwi!. Si ni huyu huyu Kaburu aliyekula dili na wana CCM kuficha kashfa ya Kitine? Sikushangaa.
Zitto amekula dili nyingi zaidi ikiwemo ya EPA, Richmond, Dowans, Symbion, NSSF, Kuiua CDM, ujenzi wa nyumba ya Gavana, Fedha za Uswis, Wakwepa kodi Airtel, Voda na Tigo... Ukiangalia kwa undani sana utagudua kuwa role ya Dr Walid aliyopewa na akina Rostam ya kuisambaratisha CDM ndiyo hiyo hiyo aliyopewa Zitto... Mungu Mkubwa Wanafiki wameumbuka mchana kweupe...
 
.......Kwa hili sishangai,kwa maana sikuwahi kuwaza wala kudhani na pia sikuyaamini masikio yangu siku niliposikia kua aliekua mkuu wa kambi ya upinzani Bungeni kwa miaka ile na pia alikua Mbunge kupitia chama cha CUF Mh Bibi Fatma Maghimbi kaingia CCM,sikupata usingizi siku 2,ukitaka kumjua huyu bibi jinsi alivyokua ngangari,fuatilia nini alisema wakati anaapishwa pale Bungeni Dodoma,kipindi hicho ni kile ambacho Cuf walikuwa hawamtambui Komandoo Dr Salmin Amour,nini Dr kabouru bwana!
 
Acha roho mbaya wewe!
Ustaz utakubaliana na mimi kuwa Enzi zile JF ilikuwa moto, hoja zilikuwa za maana sana zenye kujenga...siyo sasa hivi vijana wenu mliowanunulia visimu vya mchina wanaanzisha mada za mipasho na ----- mwingi ...I wish muwajengee uwezo kabla ya kuwaajiri humu mitandaoni...
 
kuhusu zito no coments,ila huyo kaburu alifika kigoma akitokea marekani akiwa kachakaa,kajawa na mandevu kama karl max,akaingia kwa staili ya kuvaa saspenda na porojo nyingi,hakua na pesa hata za usafiri marehem mzee shaka akajitolea tax yake aina pugeot no7.na kumzunguza kwenye kampeni bure akina rama mtale walitoa malori yalioitwa see neva dry kuwa yanawabeba watu mji mzima kwenye kampeni zake bure, lakini cha ajabu alipopata ubunge ndio kwanza akamchukua dem wa fried wa bima aitwae aziza ambae inasemekana anangoma kwani fried alikua ana madem wawili kalekwa ambae alikufa positive kabisa then na huyo aziza ambae ndie mke wa kaburu hadi sasa. Sina imani sana na wagombea toka kigoma huyo kaburu aliefadhiliwa na kupewa jina na chadema alihama na kwenda ccm, je ndio huyo zito atashindwa?watu wengi wa kigoma wana asili ya unafiki,usaliti na kutokua na uzelendo wa kweli ndio maana hata maendeleo yanafika taratibu sana. Chadema ni chama makini naamini kina mizizi imara na hakitayumba kwa kutokuwepo kwa zito zuberi kabwe.nawasilisha.

Daahh...Jf ni balaaa,hii ilitamkwa 2010!!!Thanks JF
 
Back
Top Bottom