Dr. Kaberuka ndie mrithi wa Kagame Rwanda

Dr. Kaberuka ndie mrithi wa Kagame Rwanda

Kuna sifa moja hana huyo Dr siyo mwanajeshi.
 
Kuna sifa moja hana huyo Dr siyo mwanajeshi.

Mkuu,
Huyu kama aliishi na kusomea elimu ya awali mpaka undergraduate Tanzania lazima wakati wao walipitia JKT kwa mujibu wa sheria sina uhakika kama ilikuwa miaka miwili JKT au mwaka mmoja hiyo ''uanajeshi'' naona anao.

Akipata u-Rais atapata ''ujenerali'' kupitia ''fast track programme''.
 
Kagame atauwa mtu.mnaanza kumchokoza.mapema

Inasemekana anamuandaa mmoja wa watoto wake kurithi kiti chake pindi akitaka kuachia madaraka!
 

Attachments

  • 1432095764234.jpg
    1432095764234.jpg
    18.7 KB · Views: 372
Naweza kutabiri kwa uhakika kwamba huyu mtu chongewa mashitaka ya uhaini na kuwekwa ndani soon
 
Kagame ni mtu makini akiondoka Madarakani nchi ya Rwanda itayumba sana. Amefanya makubwa mno Rwanda
 
haha mnamaneno machafu,mala atakufa mala sijuwi nini,kufa kuliumbwa bwana hatawewe unajeneza lako linakusubilia,hiyo siyo kali,KAGAME Kiboko yenu namtasema mtachoka.
 
jMali aka interahamwe

utamuacha hapa hapa. Tunamuongezea muda sasa sijui utameza wembe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom