ngudengude
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,175
- 466
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao.
Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye PhD(mchumi) ana uzoefu wa kimataifa na kitaifa pia, amesaidia sana kuondoa shida Ebola Afrika Magharibi.
Kaberuka ni mtaalam sidhani kama anahitaji kuwa politician. Isitoshe kwa nature na situation ya nchi ya rwanda raisi asie mwanajeshi hawezi mudu kuongoza rwanda. Kagame amefanikiwa lakini it is not much easy kama unavoweza kudhani. Anatumia nguvu nyingi na ubabe na udictator mkubwa pamoja na kuwabagua wahutu maana hawaamini.