and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao.
Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye PhD(mchumi) ana uzoefu wa kimataifa na kitaifa pia, amesaidia sana kuondoa shida Ebola Afrika Magharibi.
Kagame anamkubali sana huyo jamaa inaonekana maana ni mwenzake.mnatakia jamaa kifo.... kagame akisikia habari kama izi lazima ata mmaliza jamaa mapema kabisa!!!
Subiri muone Kagame atakavyo Mweka mbaroni, maana hatoachia madaraka.